WAZIRI MKUU APONGEZA UONGOZI MPYA WA TEC

Na Mwandishi wetu WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatoa pongezi za dhati kwa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kwa kupata safu mpya ya uongozi wa...

NCAA YAENDELEA KUELIMISHA WAKAZI WANAOISHI NGORONGORO NA KUWAHAMISHA WANAOJIANDIKISHA KWA HIYARI YAO WENYEWE

Arusha MAMLAKA ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imesema itaendelea kuelimisha, kuthaminisha na kuhamisha wananchi wanaoishi ndani ya hifadhi ya Ngorongoro ambao wanajiandikisha...

MWENYEKITI WA CCM DK.SAMIA AKIONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri...

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF

Dodoma. SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa...

MASOKO YA MADINI YASAIDIA KUDHIBITI UTOROSHAJI WA MADINI – MBIBO

Dar es Salaam, NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo, amesema kuanzishwa kwa Masoko ya Madini hapa nchini kumesaidia kuondokana na utoroshaji wa...

KAZI ZA UJENZI ZIFANYIKE KWA UBORA NA UZALENDO – DK. BITEKO

📌Heshimuni matumizi ya fedha za miradi 📌Wizara iwasaidie vijana kuanzisha kampuni na kuwapatia kazi ndogo ndogo ili kuwajengea uzoefu 📌Makandarasi wazawa kupewa kipaumbele katika malipo ya...

HELSB YAZINDUA KAMPENU YA FICHUA”KUWA HERO WA MADOGO”

Na Magrethy Katengu-Dar es salaam BODI ya Mikopo Tanzania (HELSB) imewaomba wananchi kuwafichua wanufaika wa mikopo walio na vipato na kazi ambao mpaka sasa...

WAZIRI MKUU: SERIKALI YATENGA SHILINGI BILIONI 787 ZA MIKOPO YA WANAFUNZI

Dodoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema katika mwaka 2024/2025, Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 787 kwa ajili ya kukopesha wanafunzi 250,000 wakiwemo 80,000...

WEZESHENI WATU VYA KUTOSHA WATUMIE GESI KWENYE MAGARI; YASEMA KAMATI YA BUNGE

📌 Yaitaka TPDC kuongeza vituo vya kujaza gesi 📌 Yaitaka pia kuongeza karakana za kuweka mifumo ya CNG 📌 Wizara ya Nishati yaahidi kuendelea kuiwezesha TPDC...

MKANDARASI ATAKIWA KUHARAKISHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UMEME WA JUA KISHAPU

📌Amtaka Meneja kuhakikisha anawasimamia vema mkandarasi 📌Mradi kuleta tija kwenye upatikanaji wa Umeme Kishapu, Shinyanga KAMISHNA wa Umeme na Nishati Jadidifu Wizara ya Nishati, Mhandisi Innocent Luoga...