NAIBU WAZIRI KAPINGA ATAKA KASI YA UUNGANISHAJI UMEME USHETU IONGEZEKE

📌 Asisitiza utunzaji wa miundombinu ya umeme 📌 Kijiji cha Sunga wilayani Ushetu kupata umeme ndani ya siku Tisa SHINYANGA NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga...

KIPANGA AZINDUA ZANA BORA ZA KILIMO ZINAZOTENGENEZWA NA WAZAWA IMARA TECH.

ARUSHA. NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omar Juma Kipanga (Mb) amezindua zana bora za kilimo zilizotengenezwa na Kampuni ya wazawa ya IMARA TECH,...

MAENDELEO YA MRADI WA JULIUS NYERERE YAVUTA HISIA ZA WENGI SABA SABA

Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme Tanzania,(TANESCO) linashiriki katika Maonesho ya kimataifa ya biashara ya sabasaba kwa mwaka 2024.Maonesho haya yalianza tarehe 28/6/2024 ambapo...

WAZIRI Dk.STERGOMENA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI NYALIKUNGU MAGU, AHAIDI KUCHANGIA MADAWATI

Mwanza WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Stergomena Lawrence Tax (Mb) Julai, mosi 2024, ametembelea Shule ya Msingi Nyalikungu iliyopo Halmashauri ya...

WANAFUNZI KUTEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA SABASABA

Dar es Salaam WANAFUNZI kutoka mikoa mitano Bara na Visiwani Julai, 5 2024 wanatarajia kutembelea Makumbusho ya Taifa kwa kushirikiana Mamlaka ya Maendeleo ya...

TFS WANANCHI WAJITOKEZE SABASABA ILI WAWEZE KUJIFUNZA VITU MBALIMBALI

Na Leah Choma @Lajiji Digital WAKALA wa huduma za misitu Tanzania (TFS)  Kanda ya Mashariki imetoa rai kwa wananchi kujitokeza kwenye banda lao ili...

DK. NCHEMBA AONGOZA MAWAZIRI WENZAKE KATIKA KIKAO NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA...

Dodoma Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amewaongoza Mawaziri wenzake Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ANAYESHUGHULIKIA UTALII AMETEMBELEA MABANDA MBALIMBALI...

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii (anayeshughulikia Utalii), Nkoba Mabula leo Julai mosi 2024 ametembelea mabanda mbalimbali ya wizara hiyo yaliyopo kwenye...

KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA DK.NCHIMBI

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi leo...

DOYO AKATA RUFAA AKIDAI UCHAGUZI, UMEKIUKA KATIBA

Dar es Salaam. ALIYEKUWA mgombea wa nafasi ya uwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Doyo Hassan Doyo amekata rufaa kwenye kamati...