MHAGAMA: OFISI YA WAZIRI MKUU IMEJIPANGA KUENDELEA KUHUDUMIA WANANCHI

*Amewataka watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kuendelea kuhudumia wananchi kwa weledi Dar es Salaam SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu imesema itaendelea kuwahudumia wananchi na...

TARURA,TANROADS NA BENKI ya DUNIA WAKAGUA MRADI WA UJENZI WA BARABARA

Iringa MTENDAJI Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff leo Julai, 2 2024 ameshiriki katika ukaguzi wa mradi wa...

MENEJA TRA KIBONDO AKAMATWA NA MENO YA TEMBO

Kigoma JESHI la Polisi Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma linamshikilia Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Wilayani humo Irving Mutegeki kwa tuhuma...

WAZIRI MKUU: MATOKEO YA SENSA YAWAFIKIE WATENDAJI WOTE WA MIKOA NA HALMASHAUR

Lindi WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema matokeo ya sensa yanapaswa yawafikie watendaji na walengwa wote katika ngazi ya mkoa na Halmashauri na yawe msingi...

WIZARA YA NISHATI YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA DAR ES SALAAM

📌 Yatoa huduma moja kwa moja kwa Wananchi kupitia Taasisi zake 📌 JNHPP yawa kivutio kikubwa kwa wananchi Dar es Salaam WIZARA ya Nishati pamoja na...

SERIKALI IMEJIDHATITI KUJA NA UWEKEZAJI WA UTALII IKOLOJIA

Dar es Salaam SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imedhatiti kuja na uwekeza wa utalii wa ikolojia kupitia misitu kwa sababu ya uwepo...

HAZINA HUTOA PENSHENI KWA WASTAAFU WASIOCHANGIA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

Na. Peter Haule, Dar es Salaam OFISI ya Pensheni ya Hazina iliyo chini ya Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali inajukumu la kulipa mafao ya...

RAIS DK.SAMIA AMPOKEA RAIS NYUSI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili...