TANESCO YAPATA TUZO YA UTOAJI HUDUMA BORA 77

Na Esther Mnyika, Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limepata tuzo ya utoaji huduma bora ambayo imetolewa na Rais Dk. Samia Suluhu...

TANTRADE MAONESHO YA 48 AJIRA 17,000 ZIMEPATIKANA

Dar es Salaam MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), Latifa Khamis amesema kuwa tangu kuanza kwa Maonesho ya 48 ya...

RAIS DK.SAMIA :BIDHAA NCHINI ZIMEPANDA KUTOKA TRILIONI 12.3 HADI TRILIONI 17.3

Dar es Salaam RAIS wa Tanzania Dk. Suluhu Hassan amesema kuwa mauzo ya nje ya bidhaa za zetu nchini yalipanda kutoka shilingi...

WAZIRI MKUU AMEZUNGUMZA A WAKAZI WA KIJIJI CHA MMAWA

Lindi WAZIRI Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa leo  Julai 03, 2024 amezungumza na wakazi wa kijiji cha Mmawa kilichopo katika kata...

RAIS SAMIA ASISITIZA USHIRIKIANO KATI YA SERIKALI NA TAASISI ZA DINI

Ampongeza Askofu Pisa kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa TEC Lindi WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anasisitiza ufanyaji kazi kwa ushirikiano kati...

SERIKALI ITAENDELEA KUSIMAMIA, KUKUZA UADILIFU WA MAADILI – DK. BITEKO

📌Azitaka taasisi za dini kushirikisha Serikali kusimamia maadili 📌Wizara ya Maendeleo ya Jamii Shirikisheni wadau 📌Azitaka taasisi za umma na Serikali kuwa mfano bora kwenye jamii...

WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII,JINSIA,WAZEE NA WATOTO ZANZIBAR YAFANYA ZIARA KIVULINI

Mwanza KATIBU Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashidi Abdallah amesema wanaamini ziara yao ya mafunzo katika shirika la kivulini...

JWTZ KUADHIMISHA MIAKA 60 TANGU KUASISIWA KWAKE SEPTEMBA 1,1964

Dar es salaa SERIKALI ya Tanzania kupitia Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania( JWTZ linatarajia kufanya maadhimisho ya miaka 60 tangu kuasisiwa kwake Septemba 1,...

RAIS DK.SAMIA Na RAIS NYUSI WATEMBEELEA BANDA LA WAZIRI MKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji , Filipe Jacinto Nyusi wakimsikiliza Waziri...

VIJIJI VYOTE TANZANIA BARA KUFIKIWA NA NISHATI YA UMEME KAPINGA

📌 Kata ya Buganzo wilayani Kahama kufikishiwa umeme kabla ya tarehe 5 Julai 📌 Mbunge wa Msalala aishukuru Serikali Kahama NAIBU Waziri wa Nishati, Judith...