DK. MWINYI AKUTANA NA RAIS WA MSUMBIJI

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uhusiano uliopo kati ya Msumbiji na Tanzania ni wa...

VIONGOZI WA UWT TAIFA WATEMBELEA MAONESHO YA 48 YABIASHARA YA KIMATAIFA SABASAB

Dar es Salaam JUMUIYA Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) imeipongeza Serikali kwa kuandaa mazingira wezeshi na kutoa fursa kwa wafanyabiashara wazawa kukuza mitaji na...

“WANANCHI TEMBELEENI BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU, TUPO TAYARI KUWAHUDUMIA” DK. YONAZI

DAR ES SALAAM KATIBU Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dk. Jim Yonazi amesema kuwa Ofisi ya Waziri Mkuu...

BoT YATANGAZA KUENDELEA KWA UKOMO WA RIBA YA ASILIMIA 6

Na Esther Mnyika, Dar es Salaam BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuendelea kwa ukomo wa riba ya asilimia 6 katika robo tatu ya...

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS BENKI YA UWEKEZAJI YA UMOJA WA ULAYA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa...

HIFADHINI VIUMBE NA KULINDA MAZINGIRA YA BAHARINI – DK. BITEKO

📌Asema uchumi wa buluu ni shughuli zote za kiuchumi zinazohusiana na Bahari, Maziwa Makuu na rasilimali zake 📌Uchumi wa Buluu mchangiaji mkubwa wa maendeleo 📌Wizara na...

VIJANA JITOKEZENI JULAI 6,2024 KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI FURSA UWANJA WA MKAPA

Na Magrethy Katengu-- Dar es salaam KATIBU Mkuu Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) Taifa Jokate Mwegelo ametoa wito kwa vijana wote Nchini kujitokeza...

AGRA WANATARAJIA KUFANYA MKUTANO WA SERA YA VIJANA NA UBADILISHAJI MFUMO WA CHAKULA JULAI...

Dar es Salaam TAASISI ya Mageuzi ya Vijana Tanzania (AGRA) imetangaza kuwa itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Sera ya Vijana na Ubadilishaji wa Mifumo...

BRELA IMEWAOMBA WANANCHI KUPITA KWENYE BANDA LAO KUPATA HUDUMA

Dar es Salaam MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Godfrey Nyaisa ametoa rai kwa wananchi kupita kwenye banda lao...

ERIO: AMEWAOMBA WAFANYABIASHARA NA WANANCHI KUTEMBELEA BANDA LA FCC KUPATA ELIMU

Dar es Salaam MKURUGENZI Mkuu Tume ya Ushindani Nchini (FCC ), William Erio ametoa rai kwa wananchi wote na wafanyabiashara kufika katika banda lao...