MKAKATI: CCM IKIHITIMISHA KAMPENI KWA KISHINDO

Dar es Salaam CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kitafunga kampeni zake za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kishindo, kwa namna ile ile kilivyozindua. Hiyo...

DK. BITEKO AHIMIZA WATANZANIA KUPIGA KURA NOVEMBA 27, 2024

📌 Asisitiza Kupiga Kura ni Haki ya Kikatiba Geita NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewahimiza Watanzania kushiriki Uchaguzi wa...

ELIMU YA USAFIRISHAJI WA KEMIKALI BADO NI MUHIMU KWA WATANZANIA

Dodoma IMEELEZWA kuwa sekta binafsi bado inachangamoto kwenye utoaji wa elimu kwa Wafanyakazi wao na jamii inayowazunguka juu ya madhara ya kemikali na hatua...

RAIS DK.SAMIA MAHAFALI YA 23 CHUO KIKUU CHA MZUMBE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maandamano pamoja na viongozi wengine wakati wakielekea kwenye eneo la Maekani,...

CCM HATUCHEKI NA MTU KATIKA KUSHIKA DOLA,TUMEJIPANGA- CPA MAKALLA.

Dar es Salaam KATIBU wa Halmashauri Kuu ( NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema...

TWENDE NA KASI YA DUNIA UBUNIFU NA UJASIRIAMALI: BALOZI NCHIMBI

Morogoro KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe kuendelea kuwa viongozi wa...

RAIS DK.SAMIA AKIWASILI STESHENI YA JAKAYA KIKWETE MOROGORO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Stesheni ya Jakaya Kikwete Mkoani Morogoro ambapo alisafiri kwa Treni ya...

DK. BITEKO MGENI RASMI MKUTANO WA KAMPENI ZA S/MITAA CHATO

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, ...

ZAIDI YA BILIONI 10 SKIMU YA UMWAGILIAJI MASIMBA KUNUFAISHA WAKULIMA 24,000 MKOANI SINGIDA

Singida. WAZIRI wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba Magharibi ameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kuendelea kuboresha sekta ya kilimo nchini...

TANZANIA NA UGANDA KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO

📌 Ni katika kuendeleza Sekta za Mafuta na Gesi 📌 Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi wafikia asilimia 47 NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dk....