UWANJA WA NDEGE WA IRINGA UANZE KAZI AGOSTI MOSI – MAJALIWA

Iringa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku 23 kwa Wizara za Ujenzi, Uchukuzi, taasisi zinazosimamia sekta ya anga na uongozi wa mkoa wa Iringa...

WAZIRI KAIRUKI AIPONGEZA TAWA KWA USIMAMIZI MZURI WA RASILIMALI ZA WANYAMAPORI

Morogoro WAZIRI wa Maliasili na Utalii MhLAngellah Kairuki ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa usimamizi mzuri wa rasilimali za wanyamapori. Kairuki...

DK. MPANGO AIPONGEZA WIZARA YA NISHATI KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI YA NISHATI

📌 Ampongeza Dk. Biteko kwa kuiongoza vyema Wizara na TANESCO kwa utekelezaji wa miradi 📌 Akagua vituo vya kupoza umeme Nguruka na Kidahwe 📌 Aagiza ifikapo...

SERIKALI INAENDELEA KUWEKEZA UJENZI WA VYUO LENGO KUTOACHA NYUMA WATU

DAR ES SALAAM MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) ,CPA Anthony Kasore amesema serikali imeendelea kuwekeza Ujenzi wa vyuo kuanzia Wilaya hadi...

DK. BITEKO AAGIZA UJENZI WA VITUO VIDOGO VYA KUPOKEA, KUPOZA NA KUSAMBAZA UMEME

📌 Asema tatizo la umeme hafifu linamkera Rais Samia 📌 Atoa Siku 7 TANESCO kuwasilisha mpango wa ujenzi wa vituo hivyo 📌 Waliopisha Ujenzi wa Kituo...

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA...

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 07, 2024 ameendelea na ziara mkoani Iringa ambapo ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa...

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA UWEKEZAJI ULAYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank)...

KUIMARIKA KWA SEKTA BINAFSI KUTASAIDIA KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA.

Na Esther Mnyika,Dar es Salaam WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Suleiman Jaffo amesema kuimarika kwa sekta binafsi kutasaidia kuongeza ajira kwa vijana wanaohitimu...

WAFANYABIASHARA NCHINI WAMIHIMIZWA KUTUMIA FURSA KATI YA TANZANIA NA KOREA ILI KUFAIDIKA NA SOKO...

Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Fatma Mabrouk Khamis amehimiza wafanyabiashara kutumia fursa kati ya Tanzania na Jamhuri...

UTENDAJI KAZI MAHIRI UWE KIPIMO CHA KUITANGAZA SEKTA YA NISHATI NCHINI-KAMISHNA LUOGA

📌 Apongeza Wataalam Wizara ya Nishati/Taasisi kwa kutoa huduma bora kwa wananchi SABASABA 📌 Asema ni sehemu sahihi ya kupata mrejesho wa utendaji kazi 📌 Ataka...