JAJI MUTUNGI :AVITAKA VYAMA VYA KISIASA KUACHANA NA MIGOGORO KUFANYA DEMOKRASIA YA KISTAARABU

Dar es salaam MSAJILI wa vyama Vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vyote vya siasa kufuata sheria za usajili na katiba zao...

EWURA WANAFANYA VIZURI KUTOA LESENI NA VIBALI KWA WALE WANAOANZISHA VITUO VYA...

Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, amesema Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ...

WANANCHI WAJIOKEZA KWA WINGI KWENYE BANDA LA TPDC 77

Dar es Salaam KATIKA Maonyesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), wananchi wamejitokeza kwa wingi katika banda la Shirika...

MHANDISI MRAMBA AMEWATAKA TPDC KUONGEZA KASI YA USAMBAZAJI WA GESI

Na Esther Mnyika, Dar es Salaam KATIBU Mkuu wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amelipongeza Shirika la Maendeleo ya Petroli na gesi TPDC...

DCI KINGAI AKABIDHI VYETI VYA HESHIMA NA ZAWADI KWA ASKARI WALIOFANYA KAZI VIZURI ZAIDI...

Dar es Salaam MKURUGENZI wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) nchini Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai leo Julai 9, 2024 Katika ukumbi wa...

MAJALIWA AWAPONGEZA RAIS SAMIA NA DK. MWINYI KWA SERA BORA SEKTA YA FEDHA.

Asema zimekuwa msingi katika ukuaji wa sekta ya fedha Morogoro WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewapongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan na Rais Dk. Hussein Ali...

MIRADI IKAMILIKE, IANZE KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI – WAZIRI MKUU

Iringa WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza miradi yote inayojengwa kwa fedha za Serikali ikamilike ndani ya mwaka huu na ianze kutoa huduma kwa wananchi. Ametoa...

TANZANIA, MFANO WA KUENDELEZA WACHIMBAJI WADOGO

Na Wizara ya Madini SEKTA ya Madini ni moja ya nguzo muhimu za uchumi wa Tanzania. Pamoja na mchango mkubwa unaotolewa na Migodi mikubwa inayomilikiwa...

BALOZI WA DENMARK AMALIZA MUDA WAKE AMUAGA DK. NCHEMBA

Benny Mwaipaja, Dar es Salaam WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba ameishauri Denmark kuongeza masuala ya ushirikiano katika sekta za nishati, maendeleo...

BALOZI KINGU ATOA WITO KWA WATANZANIA KUENDELEA KUIUNGA MKONO REA KWA KUWA MIRADI YA...

Dar es Salaam MWENYEKITI wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi na Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu amesema Watanzania wanapaswa kuendelea kuunga mkono juhudi...