TUNA UMEME WA KUTOSHA SASA NA MIAKA KADHAA MBELE-MHANDISI MRAMBA

📌 ,Asema Wizara ya Nishati haipo likizo; inaendelea kutekeleza miradi 📌 Awaasa wananchi kufanya uwekezaji; umeme wa uhakika upo 📌 Aipongeza TANESCO, ataka ubunifu zaidi 📌 Miradi...

INEC IMEWATAKA WATENDAJI WA MABORESHO YA DAFTARI MIKOA YA TABORA NA KATAVI KUWA NA...

Na Mwandishi wetu, Tabora na Katavi TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani...

CPA AMOS MAKALA AMPONGEZA MBUNGE BONNAH KUHAKIKISHA MAENDELEO YANAPATIKA SEGEREA.

Na Mariam Muhando_Dar es salaam. KATIBU wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzi wa Chama Cha Mapinduzi CCM CPA Amos Makala amempongeza Mbunge wa Jimbo la...

DK.MPANGO ATAKA MSUKUMO UTOLEWE KWA VIJIJI NA VITONGOJI VISIVYO NA UMEME

📌 Apongeza utayari wa Wizara ya Nishati kushughulikia changamoto zinazojitokeza 📌 Kapinga aagiza REA/ TANESCO kupeleka umeme Rugamba, Kigadye na Kiziba wilayani Buhigwe 📌 Aahidi umeme...

JAJI MUTUNGI :AVITAKA VYAMA VYA KISIASA KUACHANA NA MIGOGORO KUFANYA DEMOKRASIA YA KISTAARABU

Dar es salaam MSAJILI wa vyama Vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vyote vya siasa kufuata sheria za usajili na katiba zao...

EWURA WANAFANYA VIZURI KUTOA LESENI NA VIBALI KWA WALE WANAOANZISHA VITUO VYA...

Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, amesema Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ...

WANANCHI WAJIOKEZA KWA WINGI KWENYE BANDA LA TPDC 77

Dar es Salaam KATIKA Maonyesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), wananchi wamejitokeza kwa wingi katika banda la Shirika...

MHANDISI MRAMBA AMEWATAKA TPDC KUONGEZA KASI YA USAMBAZAJI WA GESI

Na Esther Mnyika, Dar es Salaam KATIBU Mkuu wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amelipongeza Shirika la Maendeleo ya Petroli na gesi TPDC...

DCI KINGAI AKABIDHI VYETI VYA HESHIMA NA ZAWADI KWA ASKARI WALIOFANYA KAZI VIZURI ZAIDI...

Dar es Salaam MKURUGENZI wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) nchini Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai leo Julai 9, 2024 Katika ukumbi wa...