TBS ONGEZENI NGUVU YA UTOAJI HUDUMA KWA WAFANYABIASHARA

Dar es Salaam WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo amelipongeza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa utendaji mzuri na kulitaka kuongeza nguvu...

WAKALA WA FORODHA MBARONI KWA TUHUMA KUMUUA RAFIKI YAKE HUKU KUMWIMIBIA MILIONI 61

Dar es Salaam MTU mmoja ajulikanaye kwa jina la Mussa Khamis Bakari maarufu ‘buda ‘ (30) , Wakala wa Forodha, mkazi wa Temeke anashikiliwa...

PURA YAJIPANGA KUONGEZA UWEKEZAJI

Na Esther Mnyika,@ Lajiji Digital MAMLAKA ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imesema itahakikisha inaongeza wawekezaji kwenye maeneo ambayo yako wazi ikwa...

HONGERENI KWA KUWEKA REKODI KWA MKAPA

Iringa KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi leo 11 Julai 2024, amefungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Watendaji na Viongozi...

PPAA IMEOMBA ZABUNI ZA UMMA WANAPOPATA CHANGAMOTO KATIKA UNUNUZI WAMETAKIWA KUWASILISHA KWENYE MAMLAKA...

Dar es Salaam MAMLAKA ya Rufani za Zabuni za Umma (PPAA) wanaoomba zabuni za umma wanapopata changamoto au kutoridhika na michakato ya...

CHATANDA AWASILI MKOANI TABORA

TABORA MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda (MCC) amewasili Tabora Kwa ajili ya Ziara,akiambatana na Katibu Mkuu wa Jumuiya...

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MTENDAJI MKUU WA TAASISI YA GETES FOUNDATION

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Gates Foundation Mark...

DK. JAFO:KAMILISHENI JENGO LA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA KWA WAKATI

DODOMA WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo amekagua ujenzi wa jengo la Wizara hiyo katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma na kuwataka...