TTCL INATARAJIA KUFIKISHA HUDUMA ZAKE DRC.

Leah Choma, Dar es Salaam SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesema linaendelea mchakato wa kufikisha huduma zake nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo ikiwa...

MHANDISI SANGWENI:WANANCHI WANAPASWA KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Na Esther Mnyika, Lajiji Digital MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Nchini (PURA),Mhandisi Charles Sangweni amesema kutokana na ugunduzi wa gesi...

RAIS DK.SAMIA AWASILI KATAVI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Mpanda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa...

MAJALIWA:AKAGUA UJENZI WA MNARA WA MASHUJAA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 12, 2024 amekagua ujenzi wa Mnara wa Mashujaa uliopo mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ikiwa ni maandalizi...

CBE KUTOA MASTERS KWA NJIA YA MTANDAO

Dar es Salaam MKUU wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Profesa Tandi Luoga amesema chuo hicho kwa sasa kimekuja kivingine kwani kimeanza...

BASHE AWATAKA AGRF KUOANISHA MAENEO YA UWEKEZAJI SEKTA YA KILIMO.

Dar es salaam. WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe amewataka wadau wa mifumo ya chakula Barani Afrika AGRF kuanza kuainisha maeneo muhimu ya uwekezaji ili kuifanya...

GAVANA BoT AISHUKURU IMF KWA MCHANGO WAKE KUENDELEZA UCHUMI TANZANIA

Dar es Salaam GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba, amelishukuru Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa mchango wake katika kuendeleza...

KAMATI GEF YATAKA USHIRIKIANO KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE

Dodoma MWENYEKITI wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri kuhusu Utekelezaji wa Programu ya Kizazi chenye Usawa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki...

DK.JAFO:WMA YAAGIZWA KUANZA KUPIMA MITA ZA UMEME NA DIRA ZA MAJI KABLA HAZIJAFUNGWA

Pwani WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dk. Selemani Jafo ameiagiza Wakala wa Vipimo (WMA) kukamilisha utaratibu wa kupima mita za umeme na dira...

WANAWAKE GOMBEENI NAFASI ZA UONGOZI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Tabora MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda (MCC) amewahimiza wanawake wenye uwezo na sifa za uongozi kujitokeza kugombea nafasi katika uchaguzi wa...