MIKATABA MINNE YA UJENZI WA BARABARA YENYE THAMANI YA BILIONI 10.75 YASAINIWA DAR ES...

Dar es salaam HALMASHAURI ya Jiji la Dar es salaam imesaini mikataba minne ya miundombinu ya barabara yenye thamani ya shilingi bilioni 10.75 zitakazojengwa kwa...

TANESCO KUANZA KUFANYA MABORESHO YA LUKU MKOA WA PWANI NA DAR ES SALAAM

Dar es salaam SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kutakuwa na maboresho huduma zake katika mfumo wa Luku kwa wateja wake wa Mkoa wa Dar...

RAIS DK.SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MPIMBWE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mpimbwe katika Jimbo la Kavuu mkoani Katavi Julai,15 2024....

SEMFUKO AWAHIMIZA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA YA UFUGAJI WA WANYAMAPORI

Dar es Salaam MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini (TAWA ),Meja Jenerali(Mstaafu) Hamis Semfuko amewahimiza watanzania kuchangamkia fursa...

TUNAKWENDA KUACHANA NA MAJENERETA – RAIS SAMIA

📌TANESCO kuunganisha mkoa wa Katavi kwenye Gridi ya Taifa Septemba 2024 📌Bilioni 2.2, bili ya Dizeli ya Majenereta kila mwezi kuokolewa. Katavi RAIS Jamhuri ya Muungano...

RAIS DK.MWINYI: AZITAKA WIZARA, TAASISI KUONDOA URASIMU KWENYE BIASHARA NA UWEKEZAJI

Dar es Salaam RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezitaka Wizara na Taasisi zinazohusika na biashara na...

RAIS DK.SAMIA APOKEA TAARIFA YA KITUO CHA KUPOKEA NA KUPOZA UMEME

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Kituo cha kupokea na kupoza umeme wa Gridi ya Taifa kilichopo...

TTCL INATARAJIA KUFIKISHA HUDUMA ZAKE DRC.

Leah Choma, Dar es Salaam SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesema linaendelea mchakato wa kufikisha huduma zake nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo ikiwa...

MHANDISI SANGWENI:WANANCHI WANAPASWA KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Na Esther Mnyika, Lajiji Digital MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Nchini (PURA),Mhandisi Charles Sangweni amesema kutokana na ugunduzi wa gesi...