JUKWAA LA KILIMO ROUNDTABLE AFRICA LINAWAHIMIZA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA KILIMO

Dar es Salaam JUKWAA linalohimiza ushirikiano, ubunifu, na ukuaji katika sekta ya kilimo (Kilimo Roundtable Africa) limewahimiza Watanzania kuchangamkia fursa mbalimbali zinazojitokeza katika sekta...

TUSAIDIANE KULINDA MIUNDOMBINU YA UMEME- MENEJA TANESCO MKOA WA PWANI

Pwani MENEJA wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Pwani Mhandisi Cosmas Mkaka ametoa wito kwa baadhi ya wananchi mkoa wa huo wanaojihusisha...

UWT YAKERWA NA KASI NDOGO YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA CHUO CHA UFUNDI STADI...

Kigoma Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Mary Chatanda (MCC) amekasirishwa na kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa Chuo cha Ufundi...

BASHE: AFANYA UKUGUZI MAGHALA SUMBAWANGA

Rukwa WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amefanya ziara ya ukaguzi katika maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) yaliyopo eneo...

RAIS DK.SAMIA AZINDUA VIHENGE NA MAGHALA YA KISASA YA NFRA

Rukwa RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amezindua leo Julai 16 2024 vihenge na maghala ya kisasa ya Wakala wa...

MWENDA: VIONGOZI TRA WA MKOA KILA WIKI KUKAA NA WAFANYABIASHARA KUSIKILIZA CHANGAMOTO...

Na Esther Mnyika,Dar es Salaam KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Yusuph Mwenda amesema kila wiki viongozi wa mkoa wa Mamlaka hiyo kukaa...

MATUKIO MBALIMBALI UZINDUZI WA VIHENGE NA MAGHALA YA KISASA YA NFRA

Matukio mbalimbali Mkoani Rukwa ambapo wananchi wamejikusanya kumshuhudia Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ambaye Julai,16 2024 anatarajiwa...

DK. SAMIA: BEI YA MAHINDI KUUZWA KWA SHILINGI MIA 600 KWA KILO MOJA

Katavi RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akihitimisha ziara yake ya kikazi Mkoani Katavi Julai 15 2024 ambapo wananchi wa...

WAZIRI MKUU AISHUKURU SERIKALI YA DENMARK, AAGANA NA BALOZI WAKE

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameishukuru Serikali ya Denmark kwa misaada ambayo imekuwa ikiitoa kwenye miradi ya maendeleo nchini ambapo Krona milioni...

RAIS DK.SAMIA AZINDUA JENGO LA HUDUMA ZA DHARURA HOSPITALI YA WILAYA YA NKASI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la huduma za dharura katika Hospitali Wilaya...