KAMPUNI YA UZALISHAJI UMEME MADOPE KUKABIDHI MIUNDOMBINU KWA TANESCO

📌 Kapinga asema Serikali itaendelea kushirikiana na wazalishaji binafsi 📌 Amuagiza mkandarasi wa umeme vijijini kukamilisha kazi kwa wakati Ludewa 📌 Kampuni ya Madope yaishukuru Serikali...

TATHIMINI UJENZI WA BARABARA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA YA ‘ECOROADS’ YALETA MATUMAINI

Na Catherine Sungura,Chamwino TEKNOLOJIA ya kisasa ya ujenzi wa barabara kwa kuboresha udongo kabla ya kuweka lami juu ijulikanayo kama ‘Ecoroads’ imeonesha matumaini katika...

VISWASWADU KUTUMIKA KUBORESHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Na Mwandishi wetu WAPIGA kura waliopo kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wataweza kutumia simu zao ndogo za mkononi (vitochi au viswaswadu) kuanzisha...

RAIS DK.SAMIA AKIWAHUTUBIA WANANCHI WA TUNDUMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Tunduma Mkoani Songwe wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma ...

MICHAEL HAUKUMIWA MIAKA 30 KWA KUMBAKA BINTI YAKE WA KAMBO MWANZA

Mwanza MKAZI wa Nyambiti, Ngudu wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza Michael John Christopher kwa jina maalufu Omoro amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la...

TANZANIA, MAREKANI NA INDIA KUONGEZA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA NISHATI

📌 Dk.Mataragio azindua programu ya ushirikiano ya TriDEP 📌 Inalenga kuongezea Wataalam uwezo katika eneo la Nishati Jadidifu 📌 TriDEP kugusa pia uimarishaji wa Gridi ya...

RAIS SAMIA:  BEI YA MAHINDI SASA SHILINGI 700; MBEGU ZA RUZUKU ZA MAHINDI KUANZA...

Rukwa RaAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya majumuisho ya ziara ya siku tatu mkoani Rukwa Julai, 17 2024...

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA UWANJA WA MANDELA

Matukio mbalimbali katika Uwanja wa Mandela, mkoani Rukwa Julai, 17 2024 ambapo Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amelakiwa na maelfu ya wananchi na Viongozi...

ANASWA AKITENGENEZA DAWA FEKI ZA KULEVYA

Dar es salaam SHABANI Musa Adam mwenye umri wa miaka 54 anashikiliwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ( DCEA) kwa...

HALMASHAURI WEKENI MIKAKATI YA KUTOKOMEZA MALARIA

Pwani WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo amezishauri halmashauri zote nchini kuweka mkakati wa kununuaa dawa za viluwiluwi inayozalishwa na kiwanda cha TBPL kilichopo...