WAZIRI MKUU KUZINDUA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMUA LA WAPIGA KURA

Kigoma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 20, 2024 anazindua uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, katika uwanja wa Kawawa, mkoani Kigoma. Uzinduzi...

CCM KIGOMA INATOSHA

Kigoma Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Jumuiya zake pamoja na wananchi mbalimbali wamejitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya...

TANZANIA NA INDONESIA ZAJADILI KUONGEZA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA NISHATI

📌 Zajadili ushirikiano katika utafutaji, usambazaji wa Gesi Asilia na Mafuta 📌 Tanzania yaikaribisha Indonesia uendelezaji wa Jotoardhi KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi...

WAKULIMA WA MPANDA WAASWA KUTUNZA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI

Katavi MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Raymond Mndolwa, amesisitiza kwa wakulima kulinda maeneo ya kilimo ili miradi ya skimu za...

BASHE: MSIUZE MASHAMBA, TUNZENI ARDHI

Katavi WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amemuelekeza Afisa Kilimo wa Kata ya Mwamkulu kuhakikisha anasimamia na kuhamasisha wakulima kujisajili kwa wingi katika mfumo...

WAZIRI BASHE ATANGAZA NEEMA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KATAVI

*Serikali yawekeza zaidi ya shilingi Bilioni 55 Katavi *Azindua ujenzi wa Maghala mawili na kuweka Jiwe la Msing ujenzi wa Ukarabati wa Skimu ya Umwagiliaji *Aishukuru...

WANANCHI WATAKIWA KUTUNZA NA KULINDA MIUNDOMBINU YA BARABARA

*ujenzi wa barabara za Chamwino umezingatia Waterbeach kwa mguu na wanaofanya mazoezi Na Catherine Sungura, Chamwino MTENDAJI Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini...

WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA TAASISI ZA DINI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI

Dodoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi zote za dini nchini kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutoa mchango kwenye maendeleo ya taifa. Amesema...

MAJALIWA MGENI RASMI KILELE CHA MKUTANO WA CPCT

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 19, 2024 ni mgeni rasmi katika kilele cha Mkutano wa Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Pentekoste Tanzania,...

KAMPUNI YA UZALISHAJI UMEME MADOPE KUKABIDHI MIUNDOMBINU KWA TANESCO

📌 Kapinga asema Serikali itaendelea kushirikiana na wazalishaji binafsi 📌 Amuagiza mkandarasi wa umeme vijijini kukamilisha kazi kwa wakati Ludewa 📌 Kampuni ya Madope yaishukuru Serikali...