ZITTO AWATAKA KIGOMA KUPIGA KURA YA HAPANA PALE CCM WANABAKIZWA PEKEE
Kigoma
KIONGOZI Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amewataka wananchi kupiga kura za hapana katika mitaa ambayo wagombea wa Chama Cha Mapinduzi...
GEITA MSINIANGUSHE, MSIIANGUSHE CCM – DK. BITEKO
📌Awahimiza Wananchi Kupiga Kura Kesho, Kuchagua CCM
📌 Awapongeza kwa Kampeni za Zakistaarabu
📌 Ataka Siasa Ziwe Daraja la Kuunganisha na Kushindanisha Mawazo
Geita
MJUMBE wa Kamati Kuu...
TUMEWALETEA MAJEMBE, MSIFANYE MAKOSA-MAJALIWA
*Asema CCM ni Chama Imara
Lindi
WAZIRI Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Kassim Majaliwa amewataka Wana-Liwale...
TANZANIA NA JAPAN KUIMARISHA USHIRIKIANO
Dodoma
SERIKALI imesema kuwa itaendela kushirikiana na Japan huku ikitoa wito kwa kampuni za Japan kuja kuwekeza nchini katika maeneo mbalimbali katika sekta zenye...
PROFESA KABUDI AZINDUA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Dar es Salaam
WAZIRI wa Sheria na Katiba Profesa Kabudi Palamagamba amezindua rasmi siku 16 za uanaharakati dhidi ya ukatili wa kijinsia wenye kauli...
CHALAMILA:TAARIFA YA AJALI YA JENGO LA KARIAKOO ITATOLEWA NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameeleza kuwa taatifa rasmi kuhusu ajali ya jengo...
RAIS DK.SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI MSIKITI WA AL GHAITH
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith. Msikiti huo...
WATUHUMIWA SABA MBARONI KWA DAWA ZA KULEVYA, DCEA YAKAMATA TANI 2.2...
Dar es Salaam
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imekamata jumla ya kilogramu 2,207.56...
TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA SABA WA JUMUIYA YA MAMLAKA ZA USIMAMIZI...
Dar es Salaam
TANZANIA inategemewa kuwa mwenyeji katika kutan meteuliwa kuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa Saba wa Kimataifa wa Jumuiya ya Mamlaka za...
MKAKATI: CCM IKIHITIMISHA KAMPENI KWA KISHINDO
Dar es Salaam
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kitafunga kampeni zake za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kishindo, kwa namna ile ile kilivyozindua. Hiyo...