CHAGUENI VIONGOZI WA MAENDELEO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA – DKT. BITEKO

πŸ“ŒAwataka kujindikisha na kujiandaa kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Geita NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka Watanzania kuchagua Viongozi...

WAZIRI MKUU: MA-RC, MA-DC HAKIKISHENI MIRADI YA MAENDELEO INAKAMILIKA

*Asisitiza ianze kutoa huduma kwa wananchi Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya wasimamie miradi yote ya maendeleo kwenye...

KADI ZA MPIGA KURA ZENYEVJINA LA ZAMANI LA TUME NI HALALI

Kigoma KADI za mpiga kura zilizotolewa mwaka 2015 na 2020 ni halali na zitaendelea kutumika kwenye chaguzi kuu zijazo bila kujali mabadiliko ya jina...

WAZIRI BASHE ASHIRIKI KUKABIDHI MRADI UMWAGILIAJI WA BONDE LA LUICHE

Kigoma WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe ameshiriki katika kukabidhi mradi wa umwagiliaji wa Bonde la Luiche, mkoani Kigoma lenye ukubwa wa hekta...

BASHE:AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI YA KUKAGUA MRADI WA UKARABATI WA SKIMU YA UMWAGILIAJI...

Katavi WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe ameendelea na ziara yake ya kikazi na kukagua mradi wa ukarabati wa skimu ya umwagiliaji ya Usense, mkoani Katavi...

WAPIGA KURA WAPYA ZAIDI YA MILIONI 5 KUANDIKISHWA-MAJALIWA

Kigoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa kwa mujibu wa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 jumla ya wapiga kura wapya...

RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA MACHIFU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye viwanja vya Ikulu kwa ajili ya kuzungumza na Machifu kutoka...

WIZARA YA NISHATI YAKABIDHI GARI LA KUBEBEA NGUZO ZA UMEME MBINGA

πŸ“Œ Kapinga asema lengo ni kuboresha utoaji huduma kwa wananchi πŸ“Œ Asema chini ya uongozi wa Dkt.Biteko huduma zitaendelea kuboreshwa πŸ“Œ Kituo cha kupoza umeme kujengwa...

DIRA YA TAIFA 2050 NI MAONO YA NCHI SIKU ZA USONI – DK. BITEKO

πŸ“Œ Amezindua Ripoti ya Maendeleo ya Watu Tanzania, 2022 πŸ“Œ Wizara, Taasisi, Mashirika na wadau watakiwa kutoa maoni πŸ“Œ Makongamano ya kikanda kuendelea Mwanza IMEELEZWA kuwa,...