SERIKALI INA MAHUSIANO MAZURI NA SEKTA BINAFSI-MAJALIWA

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema maendeleo yaliyopo nchini hivi sasa yametokana na uhusiano mzuri uliopo baina ya Serikali na sekta binafsi. Waziri...

ISHI NYUMBA KULINGANA NA KIPATO CHAKO

Dar es salaam WAZIRI wa Ujenzi Innocent Bashungwa amitaka Wakala wa Ujenzi (TBA ) kuwachukulia hatua za kisheria wapangaji ambao hawalipi kodi ya jengo bila...

WAZIRI MKUU MGENI RASMI WIKI YA SEKTA BINAFSI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 23, 2024 ni mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Wiki Maadhimisho ya Wiki ya Sekta Binafsi inayofanyika katika ukumbi...

TAWA YATOA MSAADA WA MADAWATI SHULE YA MSINGI CHANGARAWE WILAYANI MVOMERO

Mvomero MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA)imetoa msaada wa madawati 60 yenye thamani ya Shillingi Millioni 5 (5,000,000) kwa Shule ya Msingi Changarawe iliyopo...

MITUNGI YA GESI YA SHILINGI BILIONI 10 KUTOLEWA NA SERIKALI 2024/25- :KAPINGA

📌 Asema ni sehemu ya uhamasishaji wa matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 📌 Serikali kushirikiana na Wadau upatikanaji Nishati Safi ya Kupikia hadi vijijini 📌...

RC MTWARA AIPONGEZA WIZARA YA FEDHA KWA KUTOA ELIMU YA FEDHA KWA WANANCHI.

Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara MKUU wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala,  ameipongeza Wizara ya Fedha kufuatia mpango wake unaolenga kuwapa wananchi uelewa wa...

BoT IMESEMA INAWAJIBU WA KUIKOPESHA SERIKALI MKOPO WA MUDA MFUPI USIO WA KIBAJETI...

Dar es Salaam BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imesema inawajibu wa kuikopesha serikali mkopo wa muda mfupi usio wa kibajeti wa asilimia 18 ambapo...

WAZIRI BASHE: AKAGUA SHUGHULI ZA UTAFITI WA MBEGU ZA MICHIKICHI

Kigoma WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe ametembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) katika eneo la Kihinga, Mkoa wa Kigoma Julai, 212024...

VIJIJI VYOTE NYASA VYAFIKIWA NA UMEME

📌 Kapinga asema TANESCO na REA zimejizatiti kufikisha umeme maeneo ya kijamii 📌 Vitongoji havijasahaulika; 122 kati ya 421 vina umeme 📌 Upelekaji umeme viwandani, migodini...