RAIS DK. MWINYI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA

Dodoma RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Julai, 25 2024 amehudhuria Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa...

SGR YAANZA RASMI SAFARI DAR -DODOMA

Dar es Salaam HISTORIA imeandikwa  baada ya Shirika la Reli Tanzania kutimiza agizo la Rais Dk. Samia Suluhu Hassan la kuanza safari za treni...

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI SIKU YA MAADHIMISHO YA MASHUJAA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika Uwanja...

RC CHALAMILA :VYOMBO VYA HABARI PUNGUZENI KURIPOTI HABARI ZINAZOLETA TAHARUKI

Dar es salaam MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amevitaka vyombo vya habari vinavyoripoti taarifa juu ya suala la uibukaji utekaji watoto...

NANYAMBA YAFIKIWA NA ELIMU YA FEDHA

Na Chedaiwe Msuya, MtwaraKATIKA mji wa Mtwara, ambao unajulikana kwa shughuli za uvuvi na rasilimali za gesi asilia, serikali iliamua kutoa mafunzo ya...

TANZANIA YATOA NENO UKUBWA WA RIBA KIMATAIFA

Na Asia Singano, Addis Ababa - EthiopiaTANZANIA imeshiriki katika kikao cha Kwanza cha Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa...

KAGERA,GEITA KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AGOSTI 5,2024

Na Mwandishi Wetu UBORESHAJI wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Geita na Kagera utafanyika kwa siku saba kuanzia Agosti 5 hadi 11 ,...

KAMPUNI ZA UWEKEZAJI KATIKA UJENZI CHINA ZATEMBELEA MOI

Na Abdallah Nassoro-MOI TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), leo Julai 24, 2024 imepokea ujumbe kutoka makampuni ya uwekazaji kwenye sekta ya...

DK. BITEKO AWATAKA VIONGOZI KUSHIRIKIANA KUCHOCHEA MAENDELEO

📌Awataka kuwajenga wananchi sio kuwagawa 📌Asema Rais Samia amerahisisha upatikanaji wa maendeleo Geita NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka viongozi kushirikiana na...

RAIS DK.SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Julai,24 2024.