DK. KIRUSWA ATATUA MGOGORO WA WACHIMBAJI MSALALA

-Amtaka Afisa Madini Kahama kuwapatia eneo na Leseni Wachimbaji Wadogo waliopisha eneo la Mwekezaji Kahama NAIBU Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa, ametatua mgogoro baina...

MAHAKAMA IMEMUACHIA HURU ALIYEKUWA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MAFIA

Mafia MAHAKAMA ya Wilaya ya Mafia imemuachia huru mshtakiwa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Ndugu Kassim Ndumbo baada ya kukosekana...

DK. MWINYI AHIMIZA MALEZI BORA KATIKA JAMII

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj. Dk. Hussein Ali Mwinyi amehiwahimiza Wazazi na Walezi kuhakikisha wanasimamia malezi bora yenye...

MKURUGENZI ASITOKE KWENYE KITUO CHAKE CHA KAZI WAKATI VIKAO MUHIMU VINAENDELEA

Pwani WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa ameelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri wasitoke katika vituo vyao...

WAZIRI DK. GWAJIMA AISHUKURU USWISI KWA KUSAIDIA NGOs TANZANIA

Dar es Salaam WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dk. Dorothy Gwajima amesema ufadhili uliotolewa na Serikali ya Uswisi kusaidia Mashirika...

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MTENDAJI MKUU WA K-FINCO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Fedha ya Korea kwa...

TBL IMEKUTANA NA WADAU MBALIMBALI KUJADILI MAENDELEO NA CHANGAMOTO ZINAZOKABILI KAMPUNI HIYO

Dar es Salaam KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) imefanya mkutano wake mkuu wa 51 wa mwaka ambao umehudhuliwa na wadau mbalimbali na kujadili maendeleo...

WAITARA AKOSHWA NA UJIRANI MWEMA BAINA YA HIFADHI YA SAADANI NA WAWEKEZAJI

Na Catherine Mbena /Saadani. BODI ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Jenerali (Mstaafu) George Waitara,...

WANAOJIANDIKISHA KUWA WAPIGA KURA ZAIDI YA MARA MOJA KUTUMIKIA KIFUNGO JELA.

Geita WANANCHI watakaofanya udanganyifu ili wajiandikishe zaidi ya mara moja wanatenda kosa na wakibainika wanaweza kufungwa jela kifungo kisichopungua miezi sita na kulipa faini. Hayo...

DK.TULIA AMUAPISHA KOMBO LEO

Dar es Salaam SPIKA wa Bunge Dk. Tulia Ackson leo Julai, 25 2024 amemuapisha Balozi Mohamed Thabit Kombo huku akimtaka kwenda kufanyakazi aliyokusudiwa kuifanya...