KIONGOZI MBIO ZA MWENGE AIPONGEZA TAKUKURU MARA UANZISHAJI KLABU ZA WAPINGA RUSHWA

Na Shomari Binda- Musoma TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU) mkoa wa Mara imetakiwa kuendelea kutoa elimu kwa wanafunzi juu ya madhara...

RAIS SAMIA KUFANYA ZIARA MKOA WA MOROGORO.

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajia Kuanza Ziara ya Kikazi ya Siku Tano Mkoa wa Morogoro kuanzia August, 2,2024 ambapo mbali na kuzindua Miradi...

DK. NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANACHAMA NA VIONGOZI WA NGAZI MBALIMBALI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wanachama na viongozi wa ngazi mbalimbali wa CCM katika Ukumbi...

DK. BITEKO AWAKEMEA WATUMISHI WANAOKWAMISHA WAFANYABISHARA

πŸ“Œ Azindua Sera ya Taifa ya Biashara πŸ“Œ Awataka Watanzania kujiandaa kushindana πŸ“Œ Norway yampongeza Rais Samia kuagiza marejeo mfumo wa kodiΒ Dar es Salaam NAIBU Waziri...

UJENZI BANDARI YA UVUVI KILWA WAFIKIA ASILIMIA 63, KUKAMILIKA FEBRUARI 2025

Lindi WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Bandari ya Uvuvi ya Kilwa Masoko ambao mpaka sasa...

WAZIRI MKUU: SERIKALI IMEIMARISHA NGUVUKAZI SEKTA YA AFYA

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeimarisha nguvukazi kwenye sekta ya afya kwa kuongeza taasisi zinazotoa mafunzo ya afya na upatikanaji...

NAIBU SPIKA ZUNGU ANATARAJIA KUWA MGENI RASMI MAHAFALI YA 19 YA CHUO CHA FURAHIKA.

Dar es Salaam NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu anatarajiwa kuwa mgeno ya rasmi katia mahafali ya 19...

MRADI WA TAZA KUUNGANISHA UMEME AFRIKA

πŸ“Œ Dk. Biteko aweka Jiwe la Msingi πŸ“Œ Aitaka TANESCO Kusimamia Mradi kikamilifu πŸ“Œ Ataka Wakandarasi wazembe Wachukuliwe Hatua πŸ“Œ TAZA kuiwezesha Rukwa kupata umeme wa gridi Rukwa SERIKALI...