TANZANIA YAPATA USD BILIONI 2.3 KWA KUUZA MATUNDA, KUNDE NJE YA NCHI

Dodoma TANZANIA imepata dola za Marekani Bilioni 2.32 kwa kuuza tani milioni 1.57 za mazao ya matunda na jamii ya kunde huko China, India,...

RAIS DK.SAMIA AZINDUA RASMI USAFIRI WA SGR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika hafla ya uzinduzi rasmi wa huduma za usafiri wa Treni ya kisasa...

TUMEWAFIKIA KISIWA CHA CHOLE UMEME UNAKUJA

Pwani SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) linaendelea na utekelezaji wa mradi wa usambazaji umeme kwenye kisiwa cha chole kilichopo Wilayani Mafia Mkoani Pwani. Mradi huu...

WAWILI WAUA NA KUJINYONGA MAGU

Mwanza WATU wawili wilayani Magu Mkoani Mwanza wamejinyonga hadi kufa kutokana na mauaji waliyotenda kwa wenzao katika kipindi cha Mwezi Julai Mwaka huu. Akitoa taarifa...

WAZIRI MKUU KUFUNGUA MAONESHO YA NANENANE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 01, 2024 anafungua maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nanenane ambayo kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma, kwenye viwanja vya...

TUTAENDELEA KUTOA VIBALI VYA AJIRA KWA SEKTA YA AFYA KILA MWAKA

Dar es Salaam RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kutoa vibali vya ajira kwa kila Mwaka katika Sekta ya Afya ili kupunguza...

DK. BITEKO AMFARIJI HALIMA MDEE

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akisaini kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa Theresia Mdee, Mama mzazi wa Mbunge wa...

RAIS DK. MWINYI KUSHIRIKI UZINDUZI WA SGR.

Na Mwandishi wetu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi atashiriki Uzinduzi wa Usafiri wa Treni ya...

BOT. YAJA NA MPANGO WA KUPUNGUZA KUTUMA PESA MTANDAONI.

Na Mwandishi wetu KATIKA jitihada ya kuwawezesha  Watanzania maskini kushiriki katika ujenzi wa Taifa na kunufaika na uchumi wa kijiditali, Benki Kuu ya Tanzania...

KILIMANIHEWA KUPEWA ELIMU NAMNA YA UTUNZAJI NA MATUMIZI SAHIHI YA FEDHA

Chedaiwe Msuya,Mtwara WAFANYABIASHARA wametakiwa kujenga tabia ya kuweka akiba katika biashara zao ili kuhakikisha wanakuwa na maendeleo endelevu.  Afisa Sheria Mwandamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania...