MWABUKUSI ASHINDA URAIS TLS

Dodoma Bonifance Kajunjumele Mwabukusi amechaguliwa kuwa Rais wa chama cha wanasheria cha Tanganyika (TLS) . Chini ya sheria mpya, Mwabukusi atadumu kwenye nafasi hiyo kwa...

GRIDI YA TAIFA INA UMEME WA KUTOSHA – RAIS SAMIA

📌 Kituo kikubwa cha umeme chajengwa wilayani Kongwa 📌 Kuimarisha umeme hadi Gairo Morogoro RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema...

DK. NCHIMBI AWATAKA VIONGOZI UWT KUVUNJA MAKUNDI KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NA...

Na Mwandishi wetu KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amewataka viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania...

RAIS DK.SAMIA AZINDUA DARAJA LA BEREGA KILOSA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizindua Daraja la Berega, Wilayani Kilosa katika muendelezo wa ziara yake ya Kikazi...

DK.MARY AMEWATAKA WAKULIMA NCHINI KUTUMIA MBEGU ZENYE VIWANGO.

Dodoma MKURUGENZI wa Kampuni ya Namburi Agricultural Company ni wazalishaji wa mbegu bora Dk. Mary Mgonja amewataka wakulima nchini kutumia mbegu zinazozalishwa nchini ambazo zinaviwango...

MAAGIZO MATANO YA DK. BITEKO NANENANE MBEYA

*Wizara ya Mifugo na Taasisi za Utafiti Zatakiwa Kuhakikisha Upatikanaji wa Mbegu na Malisho ya Mifugo *Serikali Kuendelea Kuwezesha Upatikanaji wa Mbolea *Uzalishaji wa Chakula Nyanza...

RAIS DK.SAMIA AZINDUA HOSPITALI YA WILAYA GAIRO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizindua Hospitali ya Wilaya ya Gairo mara baada ya kuanza ziara yake ya...

TRA IMEWAOMBA WADAU NA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI NANENANE

Esther Mnyika, Dodoma MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa rai kwa wakulima na wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye banda lao ili kupata elimu ya...

MAVUNDE AWAONGOZA WATUMISHI MADINI, WAOMBOLEZAJI KUMUAGA NYANGE

Dodoma WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amewaongoza Watumishi Wizara ya Madini na baadhi ya taasisi zake kumuaga Mtumishi wa Wizara ya Madini Afisa Hesabu...

TANZANIA YAPATA USD BILIONI 2.3 KWA KUUZA MATUNDA, KUNDE NJE YA NCHI

Dodoma TANZANIA imepata dola za Marekani Bilioni 2.32 kwa kuuza tani milioni 1.57 za mazao ya matunda na jamii ya kunde huko China, India,...