NIC YAWEKA MIKAKATI YA BIMA YA KILIMO.

Na Esther Mnyika, Dodoma SHIRIKA la Bima Nchini ( NIC) limesema Bima ya Kilimo ndio mkombozi kwa wakulima wakati majanga ya kuharibiwa mazao. Mkurugenzi wa...

DC KILOMBERO AIPA KONGOLE REA

Kilombero MKUU wa Wilaya ya Kilombero, Dunstan Kyoba amesema Kituo cha kupoozea umeme cha Ifakara ni kituo bora na mkombozi wa Wilaya za Ulanga...

DK. NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA 24 WA MAWAZIRI WA FEDHA AFRIKA WANACHAMA WA BENKI...

Na Benny Mwaipaja WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 24 wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki...

BENKI YA DUNIA YAIMWAGIA SIFA TANZANIA UJENZO WA SGR

Na. Benny Mwaipaja BENKI ya Dunia imeipongeza Tanzania kwa hatua kubwa iliyopiga katika kutekeleza mradi wa kimkakati wa Reli ya Kisasa-SGR kwa kuwa ni miongoni mwa...

TTCL IMEWAPELEKEA HUDUMA YA MAWASILIANO IMARA AMBAYO ITAWARAHISHIA WAKULIMA KUWASILIANA

Na Esther Mnyika, Dodoma  AFISA Uhusiano wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Ester Mbanguka amesema wamewapelekea huduma ya mawasalino imara ambayo itawarahisishia wakulima kuwasiliana na...

RAIS DK.SAMIA AZINDUA BWAWA LA UMWAGILIAJI LENYE MITA ZA UJAZO MILIONI 25.

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan azindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba...

DIRA YA MAENDELEO YA 2050 IBEBWE NA VIJANA ZAIDI: SPIKA DK. TULIA

Mbeya SPIKA Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Tulia Ackson ambaye pia ni Rais wa umoja wa Mabunge duniani, amewataka vijana kuchangamkia...

TIMU YA WANASHERIA WAAMBATANA NA RAIS DK.SAMIA ZIARA YA MOROGORO KAMPENI YA...

*Wanasheria watatua migogoro ziara ya Rais Samia Morogoro *Ziara ya Rais Samia neema kwa wenye matatizo ya kisheria Morogoro Na Mwandishi Wetu TIMU ya wanasheria wa kampeni...

MWABUKUSI ASHINDA URAIS TLS

Dodoma Bonifance Kajunjumele Mwabukusi amechaguliwa kuwa Rais wa chama cha wanasheria cha Tanganyika (TLS) . Chini ya sheria mpya, Mwabukusi atadumu kwenye nafasi hiyo kwa...

GRIDI YA TAIFA INA UMEME WA KUTOSHA – RAIS SAMIA

📌 Kituo kikubwa cha umeme chajengwa wilayani Kongwa 📌 Kuimarisha umeme hadi Gairo Morogoro RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema...