RAIS DK. SAMIA AIPONGEZA REA

Morogoro RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kazi nzuri wanazofanya. Rais...

NIRC: SHERIA IMEONDOA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA UMWAGILIAJI NCHINI.

Na Esther Mnyika, Dodoma TUME ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imesema kutungwa kwa sheria ya umwagiliaji ni kuondoa changamoto zilizokuwa zinazoikabili sekta...

DCEA:BANGI MIRUNGI HUONDOA UOTO WA ASILI

Dodoma MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema kuwa moja ya madhara ya Kilimo cha bangi na mirungi ni kuondoa...

BRELA:WAKULIMA NI WADAU MUHIMU.

Na Esther Mnyika, Dodoma WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imesema wakulima ni wadau muhimu kwa sababu wanapozalisha mazao wanayaongezea thamani hivyo...

TANESCO YAWAOMBA WANANCHI NA WAKULIMA KUJITOKEZA KWENYE BANDA LAO ILI KUPATA ELIMU

Dodoma SHIRIKA la umeme Nchini (TANESCO) limetoa rai kwa wananchi na wakulima waliopo kwenye maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane kujitokeza kwenye banda lao...

VETA IMEKUJA NA TEKNOLOJIA AMBAZO ZITAFANYA KILIMO KUKUA NCHINI

Esther Mnyika, Dodoma MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imesema kwenye Maonesho ya Kilimo ya Nanenane mwaka huu imekuja na teknolojia...

BAADA YA HANIYE , KAMANDA MWINGINE WA HAMAS ADAIWA KUUAWA NA ISRAEL

SHAMBULIO la anga la Israel limeelezwa kuua watu 5 katika Ukingo wa Magharibi, akiwemo kamanda wa Hamas. Shambulizi la anga la Israel dhidi ya...

HISTORIA YAANDIKWA UTEKELEZAJI MRADI WA CHUMA MAGANGA MATITU

📌 Ni Mradi wa Dola Milioni 77 kwa Maendeleo ya Viwanda Nchini 📌 Utafiti Waonesha Uwepo wa Tani Milioni 101 za Chuma 📌 Dk. Biteko Ahimiza...

NAIBU SPIKA AWATAKA WAHITIMU CHUO CHA FURAHIKA KUJIENDELEZA,AUPONGEZA UONGOZI WA CHUO.

Dar es Salaam NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mussa Zungu amewataka wahititimu wa chuo Cha Ufundi stadi Furahika...

WANANCHI WAMPONGEZA RAIS DK.SAMIA KWA HUDUMA ZA MSAADA WA KISHERIA BURE NANENANE

Morogoro WANANCHI wanaopata msaada wa kisheria za mama Samia Legal Aid zinazoendelea kutolewa kwenye maonyesho ya Nane nane mkoani Morogoro wameelezea namna walivyonufaika na huduma...