MAJALIWA AWAPONGEZA RAIS SAMIA NA DK. MWINYI KWA SERA BORA SEKTA YA FEDHA.

Asema zimekuwa msingi katika ukuaji wa sekta ya fedha Morogoro WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewapongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan na Rais Dk. Hussein Ali...

TUSAIDIANE KULINDA MIUNDOMBINU YA UMEME- MENEJA TANESCO MKOA WA PWANI

Pwani MENEJA wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Pwani Mhandisi Cosmas Mkaka ametoa wito kwa baadhi ya wananchi mkoa wa huo wanaojihusisha...

RAIS DK. MWINYI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA

Dodoma RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Julai, 25 2024 amehudhuria Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa...

CCM IMEAMUA KUTOA ELIMU KUHUSU MASUALA YALIYOPO MAHAKAMANI – MAKALLA

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla amesema kuwa viongozi wengi wa chama wamekuwa...

TUENDELEE KUIOMBEA NCHI NA VIONGOZI WAKE-DK.MWINYI

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaomba Waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea...

WITO WATOLEWA WADAU KUSHIRIKI KONGAMANO LA UFUATILIAJI NA TATHMINI

Dodoma KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dk. Jim Yonazi ametoa wito kwa wadau wa ufuatiliaji na tathmini nchini kushiriki...

MAADHIMISHO YA BIMA YAFANA ZANZIBAR: “SERIKALI HAIWEZI KUFUMBIA MACHO MAGARI KUKOSA BIMA” – ZENA...

Zanzibar MAMLAKA yaUsimamizi wa Bima( TIRA) kupitia ofisi ya Zanzibar leo jumamosi Agosti 31, imefanya maadhimisho ya Bima yaliyojumuisha matembezi ya hiari katika kukuza...

ZIARA YA UTOAJI ELIMU YA BIMA YAENDELEA WILAYA YA MAGHARIBI

Zanzibar UJUMBE kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) ukiongozwa na Naibu Kamishna wa Bima Khadija Said umeendelea na ziara yake ya...

TANZANIA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA MASHARIKI

Na Ramadhani Kissimba na Farida Ramadhani, Nairobi- Kenya BENKI ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB) imeahidi kuendeleza ushirikiano uliopo kati yake na Tanzania kwa kuendelea...

MHANDISI SANGWENI:WANANCHI WANAPASWA KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Na Esther Mnyika, Lajiji Digital MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Nchini (PURA),Mhandisi Charles Sangweni amesema kutokana na ugunduzi wa gesi...