ALIYEPOOZA NA KUSHINDWA KUTEMBEA KWA MIAKA 7 ASAIDIWA FIMBO NA ASKARI KATA GENUINE KIMARIO

Na Shomari Binda-Serengeti ASKARI Kata wa Kata ya Kisangura iliyopo wilayani Serengeti Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Genuine Kimario ameendelea kufanya jitihada za kuwafikia wenye uhitaji...

BASHE ATANGAZA NEEMA SEKTA YA UMWAGILIAJI SHINYANGA

Shinyanga WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe ametembelea mradi wa Umwagilkaji wa Nyida uliopo mkoani Shinyanga wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji na kuelekeza...

JOKETI KUHAKIKISHA ANAMTUA KUNI MWANAMKE KICHWANI KUTUMIA NISHATI MBADALA

Na Mwandishi wetu, @Lajiji Digital  Umoja wa Wanawake Nchini(UWT) umedhamiria kwa vitendo kuhakikisha unatekeleza dhamira ya Rais  Dk. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha inamtua kuni...

WAZIRI MKUU AWAAGA VIONGOZI WA DINI, UZINDUZI WA ROUTE YA SGR DAR – DODOMA

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewaaga viongozi wa dini 104 ambao wanaelekea Dodoma kwa treni ya mwendokasi (SGR) kwenda kushiriki ibada...

CHATANDA ATEMBELEA FAMILIA YA BOGOHE MWASISI WA UWT PAMOJA NA CCM MWANZA.

Na Mwandishi wetu, Mwanza MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda amefika Kisesa wilaya ya Magu mkoani Mwanza kumtembelea Mwasisi wa...

TANESCO KUANZA KUFANYA MABORESHO YA LUKU MKOA WA PWANI NA DAR ES SALAAM

Dar es salaam SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kutakuwa na maboresho huduma zake katika mfumo wa Luku kwa wateja wake wa Mkoa wa Dar...

KICHEKO KWA WATUMISHI WA UMMA NA SEKTA BINAFSI

Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani GST yatoa Mshindi Na Mwandishi wetu, Arusha WATUMISHI wa Umma na Sekta Binafsi Duniani kote wameungana kwa pamoja kusheherekea...

RAIS WA CHAMA CHA TAS ALILIA HUKUMU KALI KWA WANAOKUTWA NA VIUNGO NA MAUAJI...

Pwani RAIS wa Chama cha watu wenye ualbino Tanzania (TAS) Godson Mollel aonyesha kushangazwa na Mahakama nchini kutowahi kutoa adhabu kali kwa watu wanaokutwa...

MENEJA TRA KIBONDO AKAMATWA NA MENO YA TEMBO

Kigoma JESHI la Polisi Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma linamshikilia Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Wilayani humo Irving Mutegeki kwa tuhuma...

SERIKALI INAENDELEA KUWEKEZA UJENZI WA VYUO LENGO KUTOACHA NYUMA WATU

DAR ES SALAAM MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) ,CPA Anthony Kasore amesema serikali imeendelea kuwekeza Ujenzi wa vyuo kuanzia Wilaya hadi...