RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA WANANCHI KUWA KITOVU CHA MAENDELEO: WAZIRI DK. GWAJIMA

Mara WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum,Dk. Dorothy Gwajima amesema Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia...

WAZIRI MAVUNDE AYATAKA MAKAMPUNI YA MAKAA YA MAWE KUWEKEZA KATIKA UZALISHAJI WA UMEME

_Aipongeza Ruvuma kwa kuvuka lengo la Ukusanyaji Mapato kwa asilimia 112 miezi miwili ya kwanza Mwaka 2024/* _Apongeza uwekezaji mkubwa uliofanyika kwenye uzalishaji wa makaa...

TIRA YAMKABIDHI WAZIRI MKUU BIMA ZA AFYA 1,093

Geita MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imekabidhi kadi za bima ya afya 1,093 kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassimu Majaliwa wakati wa Baraza...

WANAKIJIJI WA KATA YA UCHAMA WAELEZWA KUWA MAENDELEO NI HATUA, SERIKALI IMEDHAMIRIA KUWALETEA NEEMA...

Nzega VIJIJI vya Undomo na Mbogwe vilivyopo katika Kata ya Uchama, Wilaya ya Nzega vimeahidiwa kujengewa Kituo cha Zana za Kilimo na kupatiwa trekta...

RAIS DK.SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili mkoani Kilimanjaro, leo Septemba,...

KIGAHE AMEFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI RUSUMO

Rusumo NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe amefurahishwa na utendaji kazi wa wafanayakazi katika mpaka wa Rusumo. Kigahe ameyasema hayo leo Septemba,...

WAZIRI MKUU AHIMIZA USIMAMIZI WA MAADILI MEMA KWA JAMII.

Asema lengo ni kuepusha uovu na kuchochea maendeleo Geita WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla wahakikishe wanasimamia...

BASHE APONGEZA KAZI NZURI ZA ASA – NZEGA

Tabora WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe ameridhishwa na kazi nzuri inayofanywa na Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA) kufuatia ziara yake ya ukaguzi wa...

MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS DK.SAMIA BALAZA LA MAULID GEITA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 16, 2024 amemwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid yanayofanyika kitaifa mkoani Geita kwenye ukumbi...