WADAU WA UJENZI WASHAURIWA KUTUMIA MAABARA ZA TARURA

Dodoma WADAU wa ujenzi wa miundombinu ikiwemo barabara, madaraja, makalavati na majengo nchini wameshauriwa kutumia Maabara za Wakala Rural wa Barabara za Vijijini na Mijini...

RAIS DK.SAMIA AZINDUA KIWANDA CHA SIGARA CHA SERENGETI.

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aweka jiwe la msingi ujenzi wa Kiwanda cha Sigara cha Serengeti (SCC) katika eneo la Kiwanda cha uchakataji tumbaku...

FCS NA TCRA CCC WAINGIA MKATABA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WATUMIA HUDUMA ZA MAWASILIANO...

Dar es salaam ASASI ya kiraia Foundation for Civil Society (FCS) na Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (TCRA CCC)...

WAZIRI KOMBO APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATEULE WA ZIMBABWE,...

Dar es Salaam WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thatib Kombo amepokea Nakala za Hati za Utambulisho...

FCC: WATANZANIA KUTEMBELEA MAONESHO YA KILIMO NA UFUGAJI ILI KUONGEZA UZALISHAJI

Na Esther Mnyika, Dodoma TUME ya Ushindani Nchini (FCC),William Erio imetoa wito kwa watanzania kutembelea maonesho ya Kilimo ili kujua mambo yanayohusu kilimo na ufugaji...

TAKUKURU KINONDONI KUENDELEA NA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA

Dar es salaam TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kinondoni imesem katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia Aprili hadi Juni 2024 imepokea jumla...

TIMU YA SHERIA ZIARA YA RAIS SAMIA YAWA KIMBILIO WANANCHI WENYE MATATIZO YA...

Morogoro WANASHERIA wanaoambatana na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ziara yake ya mkoani Morogoro wameendelea kuwa msaada kwa wananchi kwa kutoa elimu ya sheria na...

RAIS DK. SAMIA AWAALIKA WAWEKEZAJI KILOMBERO, MALINYI NA ULANGA

📌 Ni kutokana na uwepo wa umeme wa kutosha katika kituo cha umeme Ifakara 📌 Asema Serikali itaendelea kuhakikisha uwepo wa umeme wa kutosha 📌 Vijiji...

WANYAMAPORI WANA MCHANGO MKUBWA KATIKA SEKTA YA UTALII

Na Beatus Maganja -Dodoma AFISA Mhifadhi Wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Winniefrida Kweka amesema Wanyamapori waliopo nchini wana mchango mkubwa katika...

TAKUKURU MARA YASAIDIA TRA KUKUSANYA ZAIDI YA MILIONI 79 KWA MIEZI 3

Na Shomari Binda-Musoma TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU )mkoa wa Mara imesaidia Mamlaka ya Mapato ( TRA ) Mara kukusanya kiasi...