SAGCOT :PARACHICHI LINALOLIMWA NCHINI LINA THAMANI NJE YA NCHI

Dodoma TAAASISI Inayojihusisha na Mpango wa Kukuza Kilimo Ukanda wa Kusini Mwa Tanzania (SAGCOT) imesema zao la parachichi linalolimwa hapa nchini lina ubora...

SMZ IMEVUKA LENGO LA ILANI YA CCM KATIKA VIWANDA-DK.MWINYI

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imevuka malengo ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 ,...

AMOSI LWIZA MBARONI KUSAMBAZA TAARIFA ZA KUMZUSHIA BINTI ALIYEFANYIWA UKATILI KUWA KAFARIKI

Dar es salaam JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata na linamuhoji kwa kina Amos Lutakulemberwa Lwiza mwenye umri wa miaka...

PPAA YAOKOA BILIONI 567.6 KATIKA MICHAKATO YA ZABUNI ZA UMMA

Dodoma MAMLAKA ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imefanikiwa kuokoaupotevu wa fedha za serikali kiasi cha Shilingi 567,636,151,996.00 katika mshauri 140 yaliyokuwa katika...

TTCL: IMEINGIA MIKATABA NA VYAMA VYA USHIRIKA ZAIDI YA 100.

Esther Mnyika, Dodoma SHIRIKA la Mawasiliano Nchini (TTCL) limesema hadi sasa wameshaingia mikataba na vyama vya ushirika zaidi ya 100 na vyama hivyo vinapatikana...

MWAKAGENDA: TTCL IMEFANYA MABORESHO KUENDANA NA WAKATI ULIOPO SASA.

Esther Mnyika, Dodoma MBUNGE wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Sophia Mwakagenda amesema Shirika la Mawasiliano Tanzania ( TTCL) limefanya...

TUMEJIPANGA KUTEKELEZA MKAKATI WA TAIFA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA- MRAMBA

📌 Asilimia 80 ya Watanzania kutumia Nishati Safi ya Kupikia ifikapo 2034 📌 Atembelea Maonesho ya Kimataifa ya Nanenane 📌 Asema Sekta ya Nishati kufungamanisha Kilimo...

SERIKALI IMESEMA SEKTA YA KILIMO NI CHANZO NA MHIMILI MKUBWA KATIKA AJIRA

Esther Mnyika, Dodoma SERIKALI imesema sekta ya kilimo ni chanzo na muhimili mkubwa katika ajira, kwa vijana,ambapo kwa mujibu wa taarifa ya utafiti wa...

DIB: IMEWEKA MKAKATI WA MIAKA MITANO YA UTIAJI WA ELIMU KWA UMMA

BODI ya Bima ya Amana (DIB) imesema imeweka mkakati wa miaka mitano ya utoaji wa elimu kwa umma ili kuhakikisha kila mwananchi anafahamu...

WANANCHI WAJIONEA UTEKELEZAJI MIRADI YA GESI ASILIA NANENANE DODOMA

📌 Teknolojia ya Uhalisia Pepe yawa kivutio 📌 Elimu Matumizi ya Nishati Safi Kupikia yatolewa Dodoma MAONESHO ya Kimataifa ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni...