WAZIRI KOMBO AJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar bado inahitaji wawekezaji zaidi kuja kuwekeza nchini kupitia...

DK. JAFO:ATOA MAELEKEZO KWA SIDO KUSHIRIKINA NA KILA MKOA UJENZI WA VIWANDA VIDOGO 20...

Dar es salaam WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dk. Selemani Jafo ameliagiza Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kushirikiana na kila Mkoa katika mikakati...

KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAAHIDI KUUPA MSUKUMO MRADI WA EACOP

📌 Yampongeza Rais Samia kutekeleza miradi inayoleta mageuzi ya kiuchumi 📌 Dkt. Mataragio asema mradi umefikia asilimia 39.2 📌 Tanzania kufaidika na shilingi trilioni 2.3 kipindi...

GLOBAL EDUCATION LINK YATOA VISA 100 KWA WANAOKWENDA KUSOMA NJE YA NCHI

Na Mwandishi Wetu WAKALA wa Elimu Nje ya Nchi, Global Education Link (GEL), imetoa Visa 100 kwa kundi la kwanza la wanafunzi wanaotarajia kuanza kwenda...

WAZIRI MAVUNDE ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA WIZARA- MTUMBA

Ataka Libebe Taswira ya Madini Dodoma WAZIRIwa Madini, Anthony Mavunde amesema kuwa ameridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Mradi wa Jengo la Makao Makuu ya Wizara...

MAYONGELA: AMEWAOMBA WANANCHI KUTUMIA HUDUMA ZILIZOANZISHWA NCHINI ILI KUKUZA UCHUMI WA TAIFA.

Dodoma MWENYEKITI wa Bodi ya T Pesa wa Shirika mawasiliano Tanzania (TTCL ), Richard Mayongela amewaomba wananchi kutumia huduma zinazozalishwa nchini ili kuchochea...

BALOZI NCHIMBI AWEKA NENO UPATIKANAJI WA NIDA NGARA

Kagera KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kuharakisha mchakato wa...

BALOZI KINGU ATOA WITO KWA WANANCHI RUKWA KUCHANGAMKIA FURSA YA KUUNGANISHIWA UMEME

Rukwa MWENYEKITI wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu ametoa wito kwa Wananchi wa Kijiji cha Chitete, Wilaya ya...

DK.BITEKO ANATARAJIA KUWA MGENI RASMI MKUTANO WA TATU WA MWAKA WA TIA UTAKAOFANYIKA ...

Dodoma NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko anataraji kuwa mgeni rasmi kwenye  mkutano wa tatu wa mwaka wa Taasisi  ya...