KIGOGO TAASISI YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE AJITOSA UBUNGE AFRIKA MASHARIKI

Dar es Salaam MAKAMU Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mkoa wa Kilimanjaro, Grace Saulo Mali, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha...

MABENKI YATAKIWA KUWAFUATA WAKULIMA NA WAFUGAJI – DK. BITEKO

πŸ“ŒSerikali Kuendelea Kuweka Mazingira Wezeshi ya Uwekezaji πŸ“ŒMikopo Chechefu Yapungua Nchini πŸ“Œ Dkt. Biteko Azindua Tawi la KCB Geita Geita NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa...

JIJI LA DAR LATANGAZA FURSA KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE MAENEO KUMI NA MOJA.

Na Mariam Muhando- Dar es salaam. HALMASHAURI ya Jiji la Dar es salaam imetangaza fursa kwa Wawekezaji Nchini kuwekeza katika maeneo kumi na Moja ya...

TANESCO TUMIENI UMEME ULIOPO KUFANYA MATENGENEZO – DK. BITEKO

πŸ“Œ Hakikisheni Watanzania wanapata umeme wa uhakika πŸ“Œ Asema Rais Samia ameweka msukumo kuimarisha sekta ya Nishat πŸ“Œ TANESCO Kujenga vituo vya kanda kudhibiti mifumo ya...

RAIS DK.SAMIA AWASILI NCHINI RWANDA KWENYE SHEREHE ZA UAPISHO WA KAGAME

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali tayari kwa kuhudhuria...

KASEKENYA TANROADS NA WANANCHI LINDENI BARABARA

Pwani NAIBU Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amezungumzia umuhimu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kushirikiana na wananchi kulinda hifadhi za barabara na hivyo...

DK. MWINYI KUZINDUA KIJANA NA KIJANI LEO

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasili uwanja wa New Amaan Complex kuzindua Kampeni...

RAIS DK.SAMIA AKUTANA MAAFISA UGANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na maafisa ugani pamoja na wanaushirika kabla ya kuanza kwa kikao...

WAZIRI KOMBO AJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar bado inahitaji wawekezaji zaidi kuja kuwekeza nchini kupitia...