TANZANIA, CHINA KUIMARISHA BIASHARA YA MIFUGO NA UVUVI

Dar es Salaam WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amekutana na Waziri wa Forodha kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, ...

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA

*Aahidi kuendeleza ushirikiano baina ya nchi hizo Cuba WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali za Tanzania na Cuba zitaendelea kushirikiana katika sekta za Elimu, Afya, Kilimo,...

WAZIRI MKUU AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezungùmza na Makamu wa Rais wa Cuba, Salvador Valdes Mesa. Mazungumzo hayo ambayo pia yamehudhuriwa na Balozi wa Tanzania...

RAIS DK. MWINYI: SMZ KUJENGA BARABARA ZA MIJINI NA VIJIJINI

Zanzibar MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, MDk. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi kuwa Serikali inaendelea...

ZIARA YA UTOAJI ELIMU YA BIMA YA AFYA ZANZIBAR YAANZA RASMI

Zanzibar ZIARA ya utoaji elimu kuhusu bima ya afya Visiwani Zanzibar imeanza rasmi leo Agosti 13, 2024 ambapo Ujumbe kutoka TIRA unaoongozwa na Naibu...

KAYA 168,000 KUNUFAIKA NA UHAKIKA WA CHAKULA NA LISHE BORA

Dodoma SHIRIKA la Maendeleo la Uholanzi la SNV kwa kushirikiana na Farm Africa wamezindua rasmi mradi wa kuwawezesha wakulima wadogo kwa usalama wa chakula...

MGODI WA GGM WAANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI BADALA YA MAFUTA

📌 Dkt.Biteko azindua kituo cha kupoza umeme cha GGM (MW 34) 📌 Asema kitaongeza mapato ya mgodi kwa Serikali 📌 Aipongeza GGM kuzipa kipaumbele kampuni za...

MKOA WA GEITA KUFUNGULIWA KWA BARABARA ZA LAMI

Geita NAIBU Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amhakikishia Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi kuwa Serikali imepanga kufungua...

KIGOMA YATAJWA KWENYE ORODHA YA MIKOA INAYOLEGALEGA UTEKELEZAJI WA MIRADI

Kigoma WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa ameitaja Kigoma kuwa miongoni mwa mikoa inayolegalega katika...

TANZANIA TUNA ZIADA YA MCHELE TANI ZAIDI YA MILIONI 1.6 – BARAZA LA MCHELE

Dar es Salaam TANZANIA ina ziiada ya Mchele tani zaidi ya milioni 1.6 baada ya kujitosheleza mahitaji ya nchi kwa chakula kwamujibu wa takwimu...