RAIS SAMIA AMEFANYA UMEME KUWA SI ANASA- KAPINGA

📌 Tanzania kufuta historia ya Vijiji kutokuwa na umeme 📌 Kati ya Vijiji 12,318 bado Vijiji 151 tu kufikiwa na umeme 📌 Wananchi watakiwa kutunza miundombinu...

WATEJA WA DAWASA JAZENI FOMU YA EWURA e-LUC KUBORESHA HUDUMA

Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imewataka wateja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar...

TANZANIA KUSHIRIKIANA NA CUBA UTAFITI WA MIMEA TIBA-MAJALIWA

Cuba WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ni muhimu kwa Tanzania na Cuba kuimarisha uhusiano katika eneo la utafiti na matumizi ya mimea tiba kwa...

BENKI YA BIASHARA TANZANIA (TCB) KUSHIRIKIANA NA BUNGE LA TANZANIA KUWAINUA WAJASIRIAMALI NCHINI

Dar es salaam KATIKA jitihada za kuimarisha ushirikiano baina ya taasisi za kifedha na mihimili ya Serikali, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara Tanzania...

ZIARA YA UTOAJI ELIMU YA BIMA YAENDELEA WILAYA YA MAGHARIBI

Zanzibar UJUMBE kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) ukiongozwa na Naibu Kamishna wa Bima Khadija Said umeendelea na ziara yake ya...

REA YAAHIDI KUENDELEA KUWAWEZESHA WAENDELEZAJI BINAFSI WA UMEME NCHINI

📌Zaidi ya Bilioni 60 zatolewa kwa waendelezaji binafsi Mkoa wa Njombe. Njombe BODI ya Nishati Vijijini imetembelea na kukagua mradi wa kuzalisha umeme kwa njia...

TALGWU YAISHUKURU SERIKALI KULIPA WATUMISHI MISHAHARA YAO KUPITIA MFUKO WA HAZINA

Dar es salaam CHAMA cha Wafanyakazi wa serikali za mitaa Tanzania (TALGWU) kimeishukuru serikali ilivyoridhia ombi lao la muda mrefu kwa kuanza utekelezaji wake...

BARABARA YA SENGEREMA -NYEHUNGE KM 54.5 KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI

Mwanza NAIBU Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema taratibu za kumpata mkandarasi mwingine ziko katika hatua za mwisho ili kuijenga kwa kiwango cha lami...