JAJI MUTUNGI AONGOZA KIKAO CHA MASHAURIANO CHA VYAMA VYA SIASA NA WANACHAMA TCD.

Dar es Salaam MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, akiongoza Kikao cha Mashauriano cha Vyama vya Siasa Wanachama wa Kituo cha...

SHILINGI BILIONI 4.6 KUPELEKA UMEME MAENEO YA MIGODI RUVUMA – KAPINGA

📌 Asema Serikali itaendelea kupeleka umeme maeneo ya uwekezaji 📌 Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji Ruvuma NAIBU Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali imetenga...

RAIS MWINYI :TAMASHA LA KIZIMKAZI NI FURSA YA UTALII NA UWEKEZAJI

Zanzibar RAIS Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, Dk. Mwinyi amesema Tamasha la Kizimkazi ni fursa muhimu kwa Mkoa...

SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TAASISI BINAFSI ZA ELIMU-KAPINGA

📌 Alipongeza Kanisa Katoliki kwa utoaji wa huduma za kijamii 📌 Aasa Wanafunzi kuwa Waaminifu na Waadilifu Ruvuma NAIBU Waziri Nishati, Judith Kapinga amesemaSerikali itaendelea kuwaunga...

RAIS MWINYI ASHIRIKI HITMA YA FIKIRINI

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapnduzi Alhaji Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa dini Kiislamu katika Hitma ya...

DARAJA LA SIMIYU NA SUKUMA KUKAMILIKA MWAKANI

Mwanza NAIBU Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amemtaka Mkandarasi China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) anaejenga daraja la Simiyu lenye urefu wa mita 150...

WHO YATOA MSAADA WA PIKIPIKI 12 KWA SERIKALI YA TANZANIA

Dodoma SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), kwa msaada wa ufadhili kutoka Mfuko wa Ireland, limetoa msaada wa pikipiki 12 kwa Serikali ya Tanzania ili...

WAKANDARASI MRADI WA TAZA (kV 400) WATAKIWA KUKAMILISHA KAZI KWA WAKATI

Dar es Salaam LEO Agosti 17, 2024 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dk. James Mataragio ameongoza kikao cha Tatu cha Kamati ya Uongozi...

JESHI LA POLISI MKOA WA MARA RAKAMATA WAHALIFU 357 KWA KIPINDI CHA MWEZI MMOJA

Na Shomari Binda-Musoma JESHI la polisi mkoani Mara linawashikilia watuhumiwa 357 waliokamatwa kwa tuhuma za makosa mbalimbali wakiwemo wanaojishughulisha na uvuvi haramu. Akizungumza Agosti, 16 2024...

MAJALIWA: TANZANIA IKO TAYARI KUSHIRIKIANA NA CUBA KUJENGA KIWANDA KIKUBWA CHA CHANJO

Cuba WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania iko tayari kushirikiana na Serikali ya Cuba kujenga kiwanda kikubwa cha kuzalisha chanjo mbalimbali ikiwemo...