DK. NCHEMBA AIHAKIKISHIA JUMUIYA YA KIMATAIFA KUBORESHA MIFUMO Ya KODI.

Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba ameihakikishia Jumuiya ya Kimataifa na Watanzania kwa ujumla kwamba Serikali inaendelea kuweka...

KATIBU TAWALA MKOA WA MOROGORO ASISITIZA MATUMIZI BORA YA FEDHA KWA WAJASIRIAMALI

Morogoro KATIBU Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Mussa Ally Mussa, amewataka wajasiriamali wa Mkoa huo kuwa na matumizi bora ya fedha wanazozipata katika shughuli...

RC MTAMBI AONGOZA MAJADILIANO UELEKEO DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2025-2050

Mara MKUU wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi ameongoza majadiliano yaliyohusisha wananchi na viongozi kuelekea maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2026-2050. Akizungumza...

MABORESHO MAHAKAMA YA TANZANIA YAIVUTIA MAHAKAMA YA MALAWI

• Watembelea Mahakama ya Tanzania kujifunza ‘abc’ za uboreshaji huduma • Mada za Uendeshaji wa Mahakama na nyingine… kutolewa Dodoma MABORESHO makubwa yanayoendelea kufanywa na Serikali ya Jamhuri ya...

WIZARA YAAINISHA MIKAKATI YA KUKUZA LUGHA YA KISWAHILI KIMATAIFA

Dodoma WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,Dk. Damas Ndumbaro ameiambia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo kuwa, wizara hiyo iko...

TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA MAFUTA NA GESI MACHI 2025

📌Wadau Sekta ya Nishati zaidi ya 1000 kushiriki 📌Dkt. Biteko awataka wadau kushirikiana kuelekea mkutano huo 📌Nishati Safi ya kupikia kupewa kipaumbele Na Mwandishi wetu NAIBU Waziri...

KASEKENYA ARIDHISHWA NA UJENZI WA DARAJA LA ITEMBE

Simiyu NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameelezea kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa daraja la Itembe mkoani Simiyu na kusisitiza likamilike kabla...

MARATHON ZITUMIKE KUWAPA TABASAMU WENYE UHITAJI – DK. BITEKO

📌CRDB Bank yatoa zaidi ya Shilingi Bilioni 1.2 kuboresha Sekta ya Afya 📌 Watu zaidi ya 10000 washiriki CRDB Bank Marathon 2024 📌 Michezo ni Ajira,...

JAJI MUTUNGI AONGOZA KIKAO CHA MASHAURIANO CHA VYAMA VYA SIASA NA WANACHAMA TCD.

Dar es Salaam MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, akiongoza Kikao cha Mashauriano cha Vyama vya Siasa Wanachama wa Kituo cha...