KITABU CHA KURUDI KWA YESU NA MFUMO WA KIDIGITALI UUZAJI VITABU KUZINDULIWA

Dar es salaam ASKOFU wa Kanisa la The Truth Ministries Nation Aurelian Ngonyani amesema kutokana na watu kuwa na shughuli nyingi na kutokuwa wasomaji wa...

TANESCO YAPONGEZWA KWA UTENDAJI MZURI

Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limepongezwa kwa utendaji mzuri katika Utekelezaji wa Miradi ya uzalishaji na Usambazaji Umeme nchini pamoja na...

DK.BITEKO AIPONGEZA EWURA KWA MWONGOZO WA USIMAMIZI WA USAFI WA MAZINGIRA NA TOPEKINYESI

• Asisitiza Ushirikiano wa Wadau katika usafi wa Mazingira nchini • Azitaka Mamlaka kuweka mikakati madhubuti ya usimamizi wa usafi wa...

MAREKANI YAZIPA KAMPUNI TISA NCHINI DOLA MILIONI 8.3 .

Dar es Salaam SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la (USAID), limetangaza kuwekeza dola za Kimarekani milioni 8.3 kwa kampuni tisa...

SERIKALI INATHAMINI NA KUTAMBUA MCHANGO WA MADEREVA NCHINI

Arusha WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inatambua, inaheshimu na kuthamini mchango wa madereva nchini. Hayo ameyasema leo Agosti, 20 Waziri Mkuu wakati...

WAKANDARASI, REA FANYENI KAZI KWA UADILIFU NA KUKAMILISHA KWA WAKATI – DK. BITEKO

📌Awataka REA, Wakandarasi kuwajibika utekelezaji wa miradi 📌Mkataba wa Shilingi bilioni 362 wasainiwa 📌 Vitongoji 3,060 kupelekewa umeme Dodoma WAKANDARASI wanaotekeleza miradi mbalimbali ya Kimkakati ya Nishati...

RAIS DK.SAMIA AFUNGUA SKULI YA MAANDALIZI DK.SAMIA SULUHU HASSAN.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akifungua Skuli ya Maandalizi Dk. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha...

TANZANIA INA MFUMO MZURI WA KUKABILIANA NA MAAFA KUANZIA NGAZI YA TAIFA HADI VIJIJINI.

Dar es Salaam IMEELEZWA kuwa Tanzania ina mfumo mzuri wa kukabiliana na maafa kuanzia ngazi ya taifa hadi vijijini na kusisitizwa kuwa ikiwa itaendelea...

DK. NCHEMBA AIHAKIKISHIA JUMUIYA YA KIMATAIFA KUBORESHA MIFUMO Ya KODI.

Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba ameihakikishia Jumuiya ya Kimataifa na Watanzania kwa ujumla kwamba Serikali inaendelea kuweka...