KASEKENYA AWATAKA MADEREVA KUFANYA KAZI KWA WELEDI

Arusha NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Kasekenya amewataka madereva wa Serikali kufanya kazi kwa weledi ili kufikia tija na kupunguza ajali. Akifunga kongamano la tatu...

RC CHALAMILA AKUTANA NA WATAALAM KUTOKA TIRA

Dar es Salaam MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Agosti 22, 2024 amekutana na timu ya wataalam kutoka Mamlaka ya...

DK. MPANGO AILEKEZA WIZARA YA MADINI KUSIMAMIA MADINI MKAKATI KWA MANUFAA YA WATANZANIA

Dodoma MAKAMU wa Rais wa Dk. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Madini kuhakisha inasimamia vyema uvunaji wa madini ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika...

TANZANIA TUNA FURSA NYINGI ZA UTALII – MAJALIWA

Zanzibar WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema bado kuna fursa nyingi hapa nchini ambazo zikitumika vizuri zinaweza kuongeza idadi ya watalii wa ndani na nje. Ametoa...

TMA YATOA UTABIRI MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU WA VULI MWEZI OCTOBA HADI DISEMBA,2024

Dar es salaam MAMLAKA ya Hali ya Hewa (TMA) imesema kuanzia Octoba hadi Desemba 2024 mvua za chini ya wastani wa katika maeneo mengi zinatarajiwa...

RAIS DK.SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA SULUHU SPORTS ACADEMY

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Suluhu Sports Academy katika eneo la...

MHAMDISI KASEKENYA AHIMIZA KASI UJENZI BARABARA ARUSHA

Arusha NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amemtaka Mkandarasi STECOL COMPANY anayejenga barabara ya Mianzini-Sambasha inayounganisha barabara ya Mianzini -Ngaramtoni juu-Olemringaringa Sambasha zenye...

WIZARA YA NISHATI YASHIRIKI TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR

📌 Yatoa huduma moja kwa moja kwa Wananchi kupitia Taasisi zake 📌 Nishati safi ya kupikia, yawa ajenda ya kuvutia Zanzibar. WIZARA ya Nishati pamoja na...

WAZIRI KOMBO APOKEA MWALIKO WA RAIS SAMIA KUSHIRIKI JUKWAA LA FOCAC

Dar es Salaam WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amepokea mwaliko rasmi wa Rais Dk....

MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI TANZANIA KUWAVUTA WAWEKEZAJI DUNIANI KOTE –...

Dar es Salaam. WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa...