MJADALA BAJETI WIZARA YA NISHATI UNAENDELEA BUNGENI ASUBUHI HII

MJADALA wa Bajeti ya Wizara ya Nishati unaendelea asubuhi hii bungeni Jijini Dodoma katika Mkutano wa Kumi na Tano Kikao cha Kumi na Nne Mjadala...

WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO WAKAZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 07, 2024 ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri uliofanyika kwenye ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma....

WAZIRI DK. GWAJIMA AISHUKURU USWISI KWA KUSAIDIA NGOs TANZANIA

Dar es Salaam WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dk. Dorothy Gwajima amesema ufadhili uliotolewa na Serikali ya Uswisi kusaidia Mashirika...

MIRADI IKAMILIKE, IANZE KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI – WAZIRI MKUU

Iringa WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza miradi yote inayojengwa kwa fedha za Serikali ikamilike ndani ya mwaka huu na ianze kutoa huduma kwa wananchi. Ametoa...

DK.BITEKO ANATARAJIA KUWA MGENI RASMI MKUTANO WA TATU WA MWAKA WA TIA UTAKAOFANYIKA ...

Dodoma NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko anataraji kuwa mgeni rasmi kwenye  mkutano wa tatu wa mwaka wa Taasisi  ya...

BADO KUNA CHANGAMOTO YA WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM KUWALETA SHULE NA CHUONI KUTOKANA...

Na Esther Mnyika, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Baraza la Taifa la Elimu ya Mafunzo ya Ufundi Stadi Tanzania ( NACTIVET), Bernadetta Ndunguru...

DK. KIJAJI ANATARAJIA KUWA MGENI RASMI SIKU YA MAADHIMISHO YA SIKU YA MILIKI UBUNIFU...

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dk.Ashatu Kijaji anatarajia kuwa mgeni rasmi siku ya maadhimisho ya siku ya miliki ubunifu Duniani...

TANESCO KUOKOA BILIONI 30 KILA MWAKA MKOA WA KAGERA UTAKAPOINGIA KWENYE GRIDI YA TAIFA

📍Yasaini mkataba na kampuni ya Mhandisi Mshauri ya Shaker na kampuni ya usimamizi miradi ya umeme ya PDC kusimamia ujenzi wa njia ya kusafirisha...

KADI ZA MPIGA KURA ZENYEVJINA LA ZAMANI LA TUME NI HALALI

Kigoma KADI za mpiga kura zilizotolewa mwaka 2015 na 2020 ni halali na zitaendelea kutumika kwenye chaguzi kuu zijazo bila kujali mabadiliko ya jina...

TANZANIA YAPONGEZWA USIMAMIZI RASILIMALI MADINI, MAFUTA NA GESI ASILIA

Na Mwandishi wetu,@Lajiji Digital 📌Dk. Biteko akutana na Mwenyekiti wa Bodi ya EITI ya nchini Norway 📌Ushirikiano wa EITI na TEITI kuimariswa NAIBU Waziri Mkuu na...