WAFANYABIASHARA TUENDELEE KUWA NA IMANI NA RAIS SAMIA -MAJALIWA
▪️Ampongeza Kamishna TRA kwa kusimamia Weledi patika ukusanyaji wa kodi
▪️Atembelea kiwanda cha uchakataji mazao ya parachichi
Njombe
WAZIRI MKuuKassim Majaliwa amezitaka jumuiya za wafanyabiashara nchini...
TUWAPENDE, TUWAJALI NA TUWATUNZE WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM – MAJALIWA
▪️Asema kwa kufanya hivyo kutawasaidia kutimiza ndoto zao
▪️Asisitiza Serikali itaendelea kufanya uwekezaji kwenye sekta ya elimu
Njombe
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wanafunzi...
BARAZA LA SABA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA NISHATI LAKUTANA DODOMA
📌 Dk. Kazungu asema Wizara itaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya Kimkakati.
📌 Baraza lapitisha rasimu ya bajeti ya 2025/2026 .
📌 Hoja za TUGHE zajadiliwa kwa...
SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA SEKTA YA MISITU
Na Happiness Shayo - Njombe
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana amesema Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii itaendelea kushirikiana na...
MAJALIWA AAGIZA UONGEZAJI THAMANI MAZAO YA MISITU UFANYIKE NCHINI
▪️Asema Tanzania inayo teknolojia ya uchakataji mazao ya misitu.
▪️Aisistiza Wizara kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji wa mazao ya misitu. Njombe
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa...
UFUNDI STADI UMEPEWA KIPAUMBELE NA SERIKALI – DK. BITEKO
📌 Asisitiza kuwa, Rais Samia anajenga vyuo kila wilaya nchini
📌 Apongeza utoaji wa mafunzo na ujuzi kuendana na teknolojia ya kisasa
📌 Makundi maalumu kupewa...
NACTVET YAWAHAKIKISHIA WADAU USIMAMIZI THABITI WA UBORA WA ELIMU YA UFUNDI NA AMALI
Dar es Salaam
BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limeelezea dhamira yake kuhakikisha kuwa mafunzo ya ufundi...
MIZENGO PINDA: VIJANA TUMIENI FURSA YA MAGEUZI YA ELIMU NCHINI
Dar es salaam
WAZIRI Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda amewataka Vijana kutumia fursa ya mageuzi ya elimu nchini kwa kujiunga vyuo stahiki vya Mamlaka ya...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAPONGEZA UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA NISHATI –...
📌Ujenzi wafikia 94%
Dodoma
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali...
OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAJIZATITI KUBORESHA UWEZO WA MAWAKILI WA SERIKALI
Dar es Salaam
OFISI ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imejipanga katika kuendelea kuimarisha na kuboresha uwezo wa Mawakili wa Serikali nchini, hayo yamesemwa na...