Kinana Rais Dk.Samia anadhamira ya dhati kufanikisha uchaguzi huru na wa haki

Na Mwandishi wetu  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewahakikishia Watanzania kuwa serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Dkt. Samia...

Rais Dk.Samia kuanza kusikiliza kero za mwananchi mmojammoja

RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajia kuanza kukutana na wananchi na kusikiliza kero zao lengo likiwa ni kumuenzi kwa vitendo Hayat Rais Ali Hassan Mwinyi...

Matokeo ya Royal Tour ya dhihirika Kilwa,Wimbi la watalii wa nje lazidi kuonezeka

Na Beatus Maganja, Kilwa KAZI ya kutangaza Utalii wa Nchi yetu iliyofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kupitia filamu ya Tanzania "The Royal...

Dk.Mataragio apishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Nishati

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dk. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati kwenye...

RAIS DK. MWINYI APOKEA SALAMU ZA POLE KUTOKA KWA MASAUNI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Ikulu Migombani kutoka kwa...

Baadhi ya wageni waalikwa kutoka nchi wanachama za Jumuiya ya Madola wakifuatilia kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Patricia Scotland wakati wa ufunguzi wa Mkutano...

Rais Dk.samia afungua mkutano wa Mawaziri wa sheria

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama...

wagombea 14 wa udiwani Kimbiji warejesha fomu na kuteuliwa kuwania nafasi hiyo

Na Mwandishi wetu WAGOMBEA 14 waliochukua fomu za utezi kuwania udiwani Kata ya Kimbiji katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni Mkoani Dares Salaam wamerejesha...

Rais Dk.Samia ashiriki Khitma ya Hayati Mzee Mwinyi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akisoma Juzuu wakati wa khitma ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...