RAIS DK.SAMIA AMESIKILIZA KILIO CHA WAKAZI WA NGORONGORO

Ngorongoro RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro. Hayo yamesemwa leo...

RAIS SAMIA AMEIBEBA AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KIMATAIFA – DK. BITEKO

📌 Ashiriki Kongamano la Nishati Safi ya kupikia Zanzibar 📌 Ahamasisha ubunifu katika teknolojia za Nishati Safi ya Kupikia 📌 Apongeza ubunifu wa mita za kupimia...

RAIS DK.SAMIA AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA ASKARI WA VIKUNDI MBALIMBALI WA JWTZ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Askari wa...

ALIYEPOOZA NA KUSHINDWA KUTEMBEA KWA MIAKA 7 ASAIDIWA FIMBO NA ASKARI KATA GENUINE KIMARIO

Na Shomari Binda-Serengeti ASKARI Kata wa Kata ya Kisangura iliyopo wilayani Serengeti Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Genuine Kimario ameendelea kufanya jitihada za kuwafikia wenye uhitaji...

MAADHIMISHO YA WIKI YA AZAKI KUFANYIKA ARUSHA SEPTEMBA 9 HADI 13,2024

Esther Mnyika,Dar es salaam TAAASISI isiyokuwa ya kiserikali ya Foundation for Civil society(FCS), inatarajia kufanya Maadhimisho ya wiki ya Azaki Arusha kuanzia Septemba 9hadi 13...

DK. BITEKO ASHIRIKI KONGAMANO LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA ZANZIBAR

Zanzibar NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto leo Agosti 23, 2024 anashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia linalofanyika katika...

BALOZI KOMBO:APRM KUJITATHMINI KATIKA MASUALA YA UTAWALA BORA AFRIKA.

Dar es Salaam WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa Mpango wa kujitathmini katika masuala...

WAZAZI PELEKENI VIJANA WENU SHULE – MAJALIWA

Lindi WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wazazi wahakikishe vijana wao wanakwenda kusoma kwenye shule za sekondari kwani bila elimu hawawezi kufika mbali. Waziri Mkuu Majaliwa ambaye...

SHULE TANO MSOGA ZAKABIDHIWA CHAKULA KWA KAMBI ZA MASOMO

Chalinze WANAFUNZI wa shule tano za msingi na moja ya Sekondari ya Kata ndani ya Kata ya Msoga wameanza kambi maalumu ya kujiandaa na...

DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA LAWAVUTIA VIJANA WA MWANZA, SHINYANGA KUJIANDIKISHA

Mwanza WAKAZI wa Mikoa ya Mwanza na Shinyanga wamejitokeza kwa wingi katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura lililoanza Agosti 21...