MIRADI NANE YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA ZAIDI YA BILLION 3.6 INATARAJIWA KUZINDULIWA NA...
Na Ashrack Miraji
Mkuu wa Wilaya ya Same Kasilda Mgeni amesema jumla ya miradi nane ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 3.6...
WADAU WATOA MISAADA YA KIBINADAMU RUFIJI
Na Mwandishi wetu,Rufiji
MBUNGE wa Rufiji na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameshiriki...
RC CHALAMILA AONGOZA BARAZA LA BIASHARA MKOA
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April, 5 2024 ameongoza baraza la biashara Mkoa wa...
MTENDAJI MKUU TARURA AAGIZA USANIFU UPYA DARAJA LA BIBI TITI MOHAMMED-MOHORO
Na Mwandishi wetu, Rufiji
MTENDAJI Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff ameagiza timu ya wataalamu wa TARURA Makao...
RAIS SAMIA AKUTANA IKULU NA MJASIRIAMALI MAANAYATA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akimuelezea kuhusu picha ya Mlima Kilimanjaro aliyomzawadia Mjasiriamali Maanayata Dutt ambaye pia ni mke...
DKT. BITEKO AMWAKILISHA MAKAMU WA RAIS IFTARI YA VIONGOZI WA DINI DAR ES SALAAM
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo Aprili, 52024 amemwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri...
MAJAJI, WASAJILI WA MAHAKAMA YA RUFANI WAPIGWA MSASA MFUMO MPYA WA USIMAMIZI MASHAURI.
Na Mary Gwera, Mahakama-Dodoma
JAJi Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma ametoa rai kwa Majaji na Wasajili wa Mahakama ya Rufani nchini kuwa mstari...
TANZANIA NA DENMARK KUIMARISHA ZAIDI USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
Na Benny Mwaipaja, Dodoma
WAZIRI wa Fedha,Dk. Mwigulu Nchemba ameihakikishia Denmark kwamba Tanzania iko tayari kushirikiana na nchi hiyo kupitia Mkakati wake mpya wa ushirikiano...
DKT. BITEKO AFUTURISHA JIMBONI BUKOMBE
Na Mwandishi wetu, Geita
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe Aprili, 4...
ZANZIBAR KUDUMISHA USHIRIKIANO NA OMAN.
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuendeleza ushirikiano wa muda mrefu...