UTAMADUNI NA UTU WA MTANZANIA USIDHALILISHWE – DKT. BITEKO
Awapongeza Wasanii kwa kutopuuza utamaduni wa Mtanzania
* Ampongeza Dk. Samia kwa kuufufua Mfuko wa Utamaduni
*Ataka Wasanii kuhamasisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Na Mwandishi wetu...