DK. BITEKO AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MIILI YA WANAFUNZI WALIOFARIKI KWA RADI GEITA
📌 Rais Samia atuma salamu za pole, agharamia misiba na mazishi
📌 Mkuu wa Wilaya Bukombe aishukuru Idara ya Afya kwa juhudi za maokozi
📌 Viongozi...
RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI WA EAC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika...
TANZANIA YAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA BURUNDI KWENYE SEKTA YA NISHATI
📌Burundi yaipongeza Tanzania kwa mafanikio ya nishati
📌Wampongeza Rais Samia kudumisha amani nchini
Dar es Salaam
SERIKALI imeahidi kuendelea kushirikiana na nchi ya Burundi katika nyanja...
BASHUNGWA AINGIA MTAANI KUJIONEA POLISI ILIVYOIMARISHA USALAMA MKUTANO WA NISHATI – DAR
Dar es Salaam
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametembelea baadhi ya maeneo Jiji la Dar es Salaam kujionea namna Jeshi...
REA YAENDELEA NA USAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI YA KILO SITA MKOANI KILIMANJARO
📌Mitungi ya gesi 19,530 kusambazwa mkoani Kilimanjaro
📌Kila wilaya kupatiwa mitungi ya gesi 3,255
Kilimanjaro
WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni...
TANZANIA KUZINDUA MPANGO MAHUSUSI WA KITAIFA WA NISHATI IFIKAPO MWAKA 2030
Dar es Salaam
RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania ni moja Kati ya nchi 12 zitakazozindua Mpango Mahususi wa kitaifa kuhusu...
DK. BITEKO AWAPA POLE BUKOMBE KUFUATIA AJALI YA RADI
Geita
MBUNGE wa Jimbo la Bukombe ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa pole kwa wananchi wa...
WAZIRI MKUU ASHIRIKI MKUTANO WA KUMI NA NANE WA BUNGE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki Mkutano wa kumi na nane wa bunge ulioanza leo Januari 28, 2025, bungeni jijini Dodoma.
Mkutano huo ni mahsusi kwa...
RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA BENKI YA DUNIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Benki ya Dunia, Ajay Banga, Ikulu Jijini...