TARURA PWANI YAONGEZA MTANDAO WA BARABARA
Na Catherine Sungura,Pwani
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imezidi kuimarisha mtandao wa barabara ndani ya mkoa wa Pwani na kufungua uchumi wake...
BALOZI NCHIMBI AKOSHWA NA MAFUNZO YA VIONGOZI WA KISIASA WANAWAKE NCHINI.
Na Mwandishi wetu,Dodoma
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amefurahishwa na mafunzo yanayotolewa kwa Viongozi wa kisiasa wanawake...
RAIS DK.MWINYI AHIMIZA KUENDELEA KUTENDA MEMA
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewashukuru Masheikh na Waalimu kwa kazi kubwa...
RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA WAGENI MBALIMBALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia S Suluhu Hassan akizungumza na Wageni mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu kwenye...
TUENDELEE KUYAISHI TULIYOJIFUNZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN-MAJALIWA
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka waumini wa dini ya kiislam kuendelea kuyaishi yale waliyojifunza wakati Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Ametoa...
RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI SALA YA EID EL FITR.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala...
RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI IBADA YA EID EL FITRI
Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki ibada ya Eid El Fitri katika Msikiti Mkuu wa Bakwata (Mfalme Mohammed VI wa Morocco), Kinondoni Dar es Salaaam,...
DC KHERI JAMES APONGEZA UTENDAJI WA JESHI LA POLISI IRINGA.
Na Mwandishi wetu, Iringa
MKUU wa wilaya ya Iringa Komred Kheri James mapema leo amepongeza utendaji wa jeshi la Polisi mkoani Iringa kwa kuweza...
TIMU YA MAWIZIRI KUONGEZA NGUVU RUFIJI,KIBITI-MAJALIWA
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Timu ya Mawaziri itakwenda wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani kuungana na...
BILIONI 96.47 KUONGEZA KASI YA MRADI WA UMEME WA KAKONO
Na Saidina Msangi, Dodoma.
SERIKALI ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa zimesaini mkataba wa Euro milioni 34.86 sawa na shilingi bilioni 96.47 kwa...