DK.NCHIMBI AANZA ZIARA YA MIKOA SITA NCHINI
KATIBU Mkuu wa CCM Balozi Dk, Emmanuel Nchimbi na ujumbe wake amewasili asubuhi hii mkoani Katavi kuanza ziara ya mikoa sita nchini. Katika ziara...
DC SAME AMEWATAKA WANANCHI KUHAKIKISHA WANAITUNZA MIRADI AMBAYO IMEZINDULIWA NA MBIO ZA MWENGE....
Na Ashrack Miraji , Same
MKUU wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewataka wananchi kuhakikisha kila mmoja kwenye eneo lake anashiriki kikamirifu...
MATINYI AMESEMA JNHPP SIO CHANZO CHA MAFURIKO RUFIJI
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
MKURUGENZI wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema Bwawa la Umeme Julius Nyerere (JNHPP) halikusababisha...
WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WALILIA BIMA YA AFYA
Na Mwandishi wetu, Morogoro
BAADHI ya wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wanaotoka katika mazingira magumu wameiomba Serikali kuwapatia bima ya Afya ili kuweza...
WAZIRI MAJALIWA AKISALIMIANA NA WAJANE WA SOKOINE
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa wakisalimiana na wajane wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine, Nekiteto Sokoine (wa pili kushoto) na...
RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMBUKIZI MIAKA 40 SOKOINE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi...
SERIKALI YATOA KIFUTA JASHO NA KIFUTA MACHOZI CHA ZAIDI YA MILIONI 399 KWA...
Na. Beatus Maganja, Nachingwea
SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imetoa kifuta jasho na kifuta machozi cha zaidi ya shillingi millioni 399 kwa...
WAZIRI MKUU KUSHIRIKI IBADA MAALUM YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 40 YA KIFO SOKOINE.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Aprili 11, 2024 amewasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kisongo jijini Arusha ambapo kesho Aprili 13, 2024 atashiriki katika...
DK. BITEKO AMTEMBELEA MZEE STEPHEN MASHISHANGA NYUMBANI KWAKE MOROGOR
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, Amemtembelea kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Mzee Stephen...