RC KUNENGE APOKEA MSAADA WA MAGARI 10 YA JWTZ KWAAJILI YA KUHUDUMIA WAATHIRIKA WA...
Na Scolastica Msewa, Rufiji
MKUU wa mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge amepokea Msaada wa magari 10 kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ ) kwaajili...
TANZANIA NA ZAMBIA ZAKUBALIANA KUENDELEA KUTATUA CHANGAMOTO ZA BIASHARA
Na Mwandishi wetu, Tunduma
Serikali ya Tanzania na Zambia zimefanikiwa kufuta kero nne kati ya kero 15 zilizokuwepo awali ili kurahisisha michakato ya biashara ya...
RAIS DK.SAMIA APOKELEWA NA RAIS ERDOGAN.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyeji wake Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan mara baada ya...
DK NCHIMBI ALAKIWA KWA SHANGWE NA MKUTANO MKUBWA UBARUKU, MBARALI
Na Mwandishi wetu, Mbeya
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi amepokelewa kwa shangwe na nderemo na wananchi wa Mbarali, wakiongozwa na...
DK. BITEKO ASEMA BWAWA LA UMEME JULIUS NYERERE LIKO SALAMA
📌 Asema limepunguza athari za mafuriko
📌 Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji
📌 Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika
📌 Azungumzia umuhimu wa Nishati Safi...
TANESCO YAMKABIDHI MKANDARASI UJENZI WA NJIA YA UMEME CHALINZE -DODOMA
Na Shamu Lameck, Pwani
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya makabidhiano kwa Kampuni ya TBEA ya China Mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme...
MA-RC, MA-DC TOENI TAARIFA ZA MICHANGO YA WADAU KWENYE MAAFA – MAJALIWA
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WAZIRI Mkuu, Kasim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya waweke utaratibu wa kutoa taarifa za michango inayotolewa...
WAKUU WA MIKOA HAMASISHENI WANANCHI KUTOA MAONI DIRA 2050 – MAJALIWA
Na Mwandishi wetu , Dodoma
WAZIRI Mkuu, Kasim Majaliwa amewaagiza Wakuu wote wa Mikoa wawahamasishe wananchi na wadau mbalimbali kutoa maoni ya Dira ya...
RAIS DK.SAMIA ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UDAKITARI WA UCHUMI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka kwa Mkuu wa...
MGODI WA MAGAMBAZI KUZALISHA KILO 25 ZA DHAHABU KWA MWEZI IFIKAPO AGOSTI 2024
*Unamilikiwa na Watanzania kwa asilimia 100
*Utafiti umebaini uwepo wa mashapo ya dhahabu kiasi cha tani 21.7
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
KAMPUNI ya PMM Tanzania Limited...