Kamishina Kiiza – Kuweni mabalozi wa kuisemea Serikali katika zoezi la kuhama Ngorongoro
Na John Mapepele
Wananchi wanaopisha uhifadhi kwa hiari katika Hifadhi ya Ngorongoro kwenda kuishi maeneo mengine wametakiwa kuwa mabalozi wa kuwekeza mema yanayofanywa na Serikali...
UTAMADUNI NA UTU WA MTANZANIA USIDHALILISHWE – DKT. BITEKO
Awapongeza Wasanii kwa kutopuuza utamaduni wa Mtanzania
* Ampongeza Dk. Samia kwa kuufufua Mfuko wa Utamaduni
*Ataka Wasanii kuhamasisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Na Mwandishi wetu...