Rais Dk.samia afungua mkutano wa Mawaziri wa sheria

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama...

wagombea 14 wa udiwani Kimbiji warejesha fomu na kuteuliwa kuwania nafasi hiyo

Na Mwandishi wetu WAGOMBEA 14 waliochukua fomu za utezi kuwania udiwani Kata ya Kimbiji katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni Mkoani Dares Salaam wamerejesha...

Rais Dk.Samia ashiriki Khitma ya Hayati Mzee Mwinyi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akisoma Juzuu wakati wa khitma ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...

BODI CHAMA CHA USHIRIKA CHAPAKAZI KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO MTWARA

Na Mwandishi wetu, Kibiti MWENYEKITI wa Chama Kikuu Cha Ushirika Mkoa wa Pwani, Mussa Mng'elesa ameahidi kupeleka Bodi ya Chama Cha Ushirika cha Msingi Chapakazi...

Viongozi wamlilia Rais Hayati Mzee Mwinyi

Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango amewaongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Rais Mstaafu wa...

Kamishina Kiiza – Kuweni mabalozi wa kuisemea Serikali katika zoezi la kuhama Ngorongoro

Na John Mapepele Wananchi wanaopisha uhifadhi kwa hiari katika Hifadhi ya Ngorongoro kwenda kuishi maeneo mengine wametakiwa kuwa mabalozi wa kuwekeza mema yanayofanywa na Serikali...

UTAMADUNI NA UTU WA MTANZANIA USIDHALILISHWE – DKT. BITEKO

Awapongeza Wasanii kwa kutopuuza utamaduni wa Mtanzania * Ampongeza Dk. Samia kwa kuufufua Mfuko wa Utamaduni *Ataka Wasanii kuhamasisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Na Mwandishi wetu...